Siri imefichuka, kumbe WEMA ni mke wa mtu..

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Siri imefichuka ,kumbe staa wa filamu nchini na aliyekuwa miss tanzania 2006, wema isaac sepetu anadaiwa kuwa mke wa mtu, inasemekana staa huyo alifunga ndoa na mjasiriamali aitwaye yusuph jumbe mwezi wa pili mwaka 2009.

Hata hivyo inadaiwa ndoa hiyo haikufika hata mwezi wanandoa hao wakashindwana na bado haijajulikana kama waliachana kwa talaka au lah.

Staa huyo (wema) ambaye yupo kwenye mahaba niue na staa mwenzie diamond platnum, ambapo ivi karibuni wanadaiwa kutaka kufunga ndoa ambayo kwa mwanadada wema itakuwa ndoa yake ya pili.

Sasa haijajulikana kama dini yake inamruhusu kuolewa mara mbili kama ilivyo kwa wanaume wanavyoruhusiwa kuoa wake hadi wanne au lah.
 
Mkuu nimeona magazeti ya leo wema kavishwa pete ya ndoa kwa siri na diamond
 
nakumbuka aliwahi kusema kuwa hakuwahi kuolewa na Jumbe ila walikuwa marafiki.
 
Alimpa jumbe mzingo ili avutwe japani!jumbe kajilia kabwaga.
 
nakumbuka aliwahi kusema kuwa hakuwahi kuolewa na Jumbe ila walikuwa marafiki.

Kaolewa huyo tena ndoa kabisa na yusuph jumbe mwaka 2009 mwezi wa pili anajibaraguza tu arudi kwa mumewe uko au kwa kuwa mumewe sio staa na hana pesa?
 
Mkuu nimeona magazeti ya leo wema kavishwa pete ya ndoa kwa siri na diamond

Nimesoma hiyo pete alinunua mwenyew akavaa kama urembo tu hiyo ndoa aendelee kuiota tu arudi kwa mumewe jumbe
 
au kwa kuwa mumewe sio staa na hana pesa?

Mmmmmm! @ warumi


kipi kimekusibu leo mpaka umekubali Diamond aka baba Ubaya kama unavo muitaga ,Ana pesa?
 
au kwa kuwa mumewe sio staa na hana pesa?

Mmmmmm! @ warumi


kipi kimekusibu leo mpaka umekubali Diamond aka baba Ubaya kama unavo muitaga ,Ana pesa?

Si alisemaga mwenyew kama ni billionaire au alikuwa anatudanganya binamu? Maana yule anayaweza
 
Kazi anayo kweli kwahyo kwa dangote anasubiria ndoa naona domo anajilia tu kimya kimya lets wait and see
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…