Siri Imefichuka: Maafisa wa Ngazi ya Juu wa Marekani Wanamshawishi Rais wa Ukraine Afanye Mazungumzo na Putin

Tunataka game ichenji kidogo.
 
Kuhusu gharama.
Najua US kapigana kule kwa wateleban kwa miaka 20+.
Kaweka jeshi kile Iraq kwa miaka 15+
Kaweka jeshi kule kwa Assad sasa inakaribia 10+.

Nadhani kwenye suala la gharama hawa jamaa wanaweza kaa vitani hata decades 5.
Tofautisha kati ya watalaban na moja ya jeshi kubwa sana hapa Duniani,ulimwenguni,chini ya jua.

Watalaban hawakua na Jeshi la anga,Majini na Jeshi la ardhini,zaidi ya Guelilas./militias.
Watalabani walikua ni kikundi Cha watu Wachache sana nchini Afghanistan wala hawakua wanaungwa mkono nchi nzima.

Urusi ina Kila kitu walichonacho West na vingine kawazidi.
 
Hiki chuma ni hatari sana.
Rasmi sasa, hiki ni kifaa cha dunia.
Ha ha haa.
Tayari kimeshaingia kwenye historia.
Hiki chuma kimewatuliza NATO Huku Dunia ikishuhudia.

Kwa jinsi NATO Wanavyoipenda Ukraine,nadhani Ingekua inapigwa na mfano china,NATO wangeingia mazima kama walivyofanya kwa Yugoslavia, Iraq na Libya.
Lkn kwa hiki chuma wameishia kutoa misaada ya silaha na inelijensia TU kwa Ukraine.
 
Nadhani wanajua aina ya chuma wanachoshughulika nacho. Kwamba ni chuma cha pua na si cha mchezo mchezo.
 
Kuhusu gharama.
Najua US kapigana kule kwa wateleban kwa miaka 20+.
Kaweka jeshi kile Iraq kwa miaka 15+
Kaweka jeshi kule kwa Assad sasa inakaribia 10+.

Nadhani kwenye suala la gharama hawa jamaa wanaweza kaa vitani hata decades 5.
Mkuu kwa Ukrain wametumia zaidi ya dollar Billion 20, ni nyingi sana kwa span ya miezi 8 tu.
Imagine kwa miaka kumi maana yake ni zaidi ya billion 200.
Ni nyingi sana hizo mkuu

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kuhusu gharama.
Najua US kapigana kule kwa wateleban kwa miaka 20+.
Kaweka jeshi kile Iraq kwa miaka 15+
Kaweka jeshi kule kwa Assad sasa inakaribia 10+.

Nadhani kwenye suala la gharama hawa jamaa wanaweza kaa vitani hata decades 5.
Inategemea rasilimali zilizopo katika nchi husika.
Hawawezi kukaa kwa kutegemea nafaka. Wanazo akili hao
Kuhusu gharama.
Najua US kapigana kule kwa wateleban kwa miaka 20+.
Kaweka jeshi kile Iraq kwa miaka 15+
Kaweka jeshi kule kwa Assad sasa inakaribia 10+.

Nadhani kwenye suala la gharama hawa jamaa wanaweza kaa vitani hata decades 5.
Inategemea rasilimali zilizopo katika nchi husika. Hawawezi kukaa kwa kutegemea nafaka. Wanazo akili hao
 
Unakopi na kupest husomi h
Umeelewa kipengele hichi au umekurupuka tuu
The request by American officials is not aimed at pushing Ukraine to the negotiating table, these people said. Rather, they called it a calculated attempt to ensure the government in Kyiv maintains the support of other nations facing constituencies wary of fueling a war for many years to come.
 
Hongera kwa kusoma vizuri. lkn bado hujasoma btn, under and above the line, to get the content and context.
 
Russia amebadilisha mfumo mzima wa kiuchumi na kisiasa Duniani.Tuliaminishwa na Dunia kuwa Ulaya na USA ndio kila kitu hapa Duniani-kumbe UE nzima uchumi wake unategemea energy kutoka Russia.
Mkuu kwani hiyo gesi Russia anawapa bure au wananunua? Ni suala la muda tu watu wapate alternative uone Russia hiyo gesi yake atapeleka wapi.

Back to the topic hata Putin kashaomba mazungumzo mara kadhaa na Zelensky kamkatalia.
 
hiyo hiyo media baadae msiseme inatangaza propaganda wkt muda huu mnaiona source huru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…