Point kubwa sio kwenye jina bali kwenye utambulisho wake. Wakristo wanajua kuwa Yesu ni zaidi ya Nabii. Yesu ni Mwana wa Mungu na Mwokozi wa ulimwengu.Point ni kwamba anayekusudiwa ndio huyo huyo mmoja kwa maana hakuna ushahidi kwamba aliwahi kuwepo Yesu na akawepo Isa, maana hata hao wakristo wenyewe hutofautiana kuhusu Yesu na ndio hutumia hiyo hiyo biblia.
Hapo itakuwa ni ku complicate maisha. Kwa kiswahili Mungu ni Mungu, Kiingereza ni God, Kwa kiarabu ni Allah na lugha zingine kwa kadri zinavyoita. Na majina yote yanaweza maanaisha Mungu mmoja ingawa si nyakati zote. Hapo hatuwezi sema majina ya Mungu. Sisi tunaosoma Biblia tunaamini kila kabila na lugha wanaweza kumuita kwa jina linalomfaa kwa sababu yeye ndiye aliyewafanya wanadamu wagawanyike wakati wa ujenzi wa mnara wa Babel. Hivyo anajua namna ambavyo wangemuita kulingana na makabila na lugha zao.Ndio maana nasema mara zote kuwa Yesu ana majina mengi najiuliza ni jina lipi hilo ambalo ndio lenye kutoa mapepo? Kwanini ukitamka Isa mapepo yasitoke wakati wakristo wa wakituruki huko wanamuita Yesu kwa jina la Isa?
Nadhani mlitakiwa mseme majina ya Yesu yanatoa mapepo maana kuna majina mengi ambayo mengine hujawahi hata kuyasikia.
Google tu mkuu, usipende kutafuniwa. Again, lugha yao ndio lugha mama ya Agano jipya. Rahisi tu hivo.Kwahiyo Waturuki wakristo wanamuita Yesu kwa jina gani?
Kama kuhusu Yesu kuwa ni Mungu sio wakristo wanaamini kuwa Yesu ndio Mungu.Naomba kujifunza, weka hizo tofauti?
Mimi nime google na nikapata kuona kuwa wanamuita Isa na ndio maana nikasema humu, sasa wewe unapinga ndio maana nakuuliza je waturuki wakristo wanamuita vp Yesu ikiwa sio Isa?Google tu mkuu, usipende kutafuniwa. Again, lugha yao ndio lugha mama ya Agano jipya. Rahisi tu hivo.
Unaweza kuthibitisha kuwa ilipata kuwepo kwa hao wawili kwa maana aliwahi kuwepo Yesu na Isa?Yaani kumbe Kuna watu wanasema ni mtu mmoja?, mbona ni watu wawili tofauti kabisa!.
Hatupaswi kukariri mambo lazima tupanuke kwenye lugha zingine na jinsi majina yalivyotoholewa. Utofauti kwenye ukristo Yesu/Issa sio nabii maandiko matakatifu tunayoyaamini yanamtaja kama Mwana wa Mungu. Jinsi anavyozungumzwa sifa zake kwenye uislamu ni tofauti. Na hii si ajabu kumzungumza mtu mmoja yuleyule kwa sifa tofauti. Wengi wa raia wa Libya walimuona Gadafi kama kiongozi wao bora lakini nchi za magharibi walimpa sifa za udikteta.Sasa mbona huyo jamaa anasema sio kweli?
Hapa naunga mkono. Good pointPoint kubwa sio kwenye jina bali kwenye utambulisho wake. Wakristo wanajua kuwa Yesu ni zaidi ya Nabii. Yesu ni Mwana wa Mungu na Mwokozi wa ulimwengu.
“Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai” (Mathayo 16:16).
Alizaliwa holi la ng'ombe au baada ya kuzaliwa aliwekwa kwenye holi la ng'ombe?..holi la ng'ombe siyo zizi bali sehemu ya ng'ombe kunywea majiKuongezea hapo mahali alipozaliqa Yesu na Nabii issa ni sehem mbili tofauti kwa hyo haiwezekani.mtu mmoja akazaliwa sehem mbili tofauti Yesu kwenye holi la ng'ombe na Nabii Issa chini ya mtende.
Kigiriki ndio lugha iliyotumika kuandika agano jipyaGoogle tu mkuu, usipende kutafuniwa. Again, lugha yao ndio lugha mama ya Agano jipya. Rahisi tu hivo.
Usinishike,kwa maana sijapaa kwenda mbinguni,lakini kawaambie ndugu zangu,napaa kwenda kwa Mungu wangu ambaye ni Mungu wao,baba yangu ambaye ni baba yaoNdiyo, kwa kituruki Yesu ni "İsa"
Lakini hiyo ni tafsiri tu ya jina "Yesu" kwa lugha hiyo, linalotokana na lugha za Kiarabu.
Waturuki wengi Wakristo wanapotumia “İsa Mesih” wana maanisha Yesu Kristo, sio “Nabii Isa” wa imani ya Kiislamu.
Na Waislamu wa Kituruki wakisema “İsa,” wana maana ya “Nabii Isa” wa Qur'an.
Nabii Isa katika Uislamu sio sawa na Yesu Kristo katika Ukristo — wanafanana katika baadhi ya mambo ya kihistoria (kama kuzaliwa na Mariamu), lakini tofauti zao za msingi ni kubwa sana kiimani.
Yesu Kristo ni zaidi ya Nabii kwa Wakristo
“Petro akajibu, akasema, Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.” (Mathayo 16:16)
Qur'an imeweka wazi kabisa inapomzungumzia Isa inamkusudia huyo huyo huyo Yesu ambaye wapo kwenye kuamini ni mtoto wa Mungu. Kwahiyo huko kwenye Qur'an palipomtaja Isa hakujakusudiwa Isa kuwa ni mtu mwengine tofauti na Yesu.Point kubwa sio kwenye jina bali kwenye utambulisho wake. Wakristo wanajua kuwa Yesu ni zaidi ya Nabii. Yesu ni Mwana wa Mungu na Mwokozi wa ulimwengu.
“Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai” (Mathayo 16:16).
Taarifa ikiwapendeza wanasema ndo ukweli na ispowapendeza wanasema ni uongo! ... Sisi tunawaambia Yesu/Issa mumempa sifa za uongo na badala yake sifa zake ni kadhaa, lakini wao wanasema huyo tunaemuongelea ni mtu tofauti. Clearly if they were to debate on validty ya wanachokisema na tunachokisema kumuhusu hawatokuwa na hoja ya kushinda hoja na ushahidi ulio katika Uislam. So the only solution is for them to say "hao ni watu wawili tofauti, bakini na sifa za Issa wenu na sisi tubaki na za Yesu wetu"Siku zote huwa nauliza kama Yesu sio Isa kwamba wana sifa tofauti sasa mbona malaika waliyoasi tunaambiwa ndio majini hali ya kuwa wana sifa tofauti?
Ndio maana nasema kwamba anayekusudiwa ni huyo huyo mmoja, sasa mtu anataka maelezo yote yafanane vilevile ndio akubali kwamba Isa aliyetajwa kwenye Qur'an ndio huyo huyo Yesu.Hatupaswi kukariri mambo lazima tupanuke kwenye lugha zingine na jinsi majina yalivyotoholewa. Utofauti kwenye ukristo Yesu/Issa sio nabii maandiko matakatifu tunayoyaamini yanamtaja kama Mwana wa Mungu. Jinsi anavyozungumzwa sifa zake kwenye uislamu ni tofauti. Na hii si ajabu kumzungumza mtu mmoja yuleyule kwa sifa tofauti. Wengi wa raia wa Libya walimuona Gadafi kama kiongozi wao bora lakini nchi za magharibi walimpa sifa za udikteta.
Point yangu ni hayo madai ya kwamba jina la Yesu linatenda miujiza au kutoa mapepo, maana yake kuna uspesho katika hilo jina wakati huo katika lugha zengine halitumiki hilo jina Yesu.Hapo itakuwa ni ku complicate maisha. Kwa kiswahili Mungu ni Mungu, Kiingereza ni God, Kwa kiarabu ni Allah na lugha zingine kwa kadri zinavyoita. Na majina yote yanaweza maanaisha Mungu mmoja ingawa si nyakati zote. Hapo hatuwezi sema majina ya Mungu. Sisi tunaosoma Biblia tunaamini kila kabila na lugha wanaweza kumuita kwa jina linalomfaa kwa sababu yeye ndiye aliyewafanya wanadamu wagawanyike wakati wa ujenzi wa mnara wa Babel. Hivyo anajua namna ambavyo wangemuita kulingana na makabila na lugha zao.
jina la Bwana Yesu libalikiwe👿Kwa Jina la YESU Mapepo humtoka Mtu. Ndio Jina pekee ambalo hata Mapepo yanalitii. Hakuna Jingine.
Wala YESU haswaliwi maana yeye ni top!
Biblia haitaji sehemu aliyozaliwa Yesu ila baada ya kuzaliwa inasema alilazwa kwenye hori/Manger.Alizaliwa holi la ng'ombe au baada ya kuzaliwa aliwekwa kwenye holi la ng'ombe?..holi la ng'ombe siyo zizi bali sehemu ya ng'ombe kunywea maji
Mkuu, kauli ya signature yaku ni katika viongozi wa kisiasa - si umeona ina element ya wabunge na raisi? Hupaswi kuipeleka kwenye suala la wajinga wa kidini kama wanavyoainishwa na maandiko!By the way, mbona kauli yako[tulikuwa tunawasanifu tu, tunawaacha vipofu waongozwe na vipofu wenzao] inapingana na signature yako?(Usimpuuze mjinga, muelimishe)
Nafikiri kauli yako umeinukuu katika Mathayo 15:14. Hapo Yesu alikuwa anamaanisha kwamba Mafarisayo waliokataa ukweli wa Mungu waachwe waendelee katika upofu wao wa kiroho, kwa sababu walishikilia mapokeo yao badala ya Neno la Mungu.
Hii haimaanishi kuwa Wakristo wasiwajali watu wanaopotea, bali inamaanisha kwamba kama mtu anapinga ukweli kwa ukaidi, basi usiendelee kubishana naye (Tito 3:10).