Elections 2010 Siri kifo cha Mkemia mkuu wa serikali...

inyi

Member
Joined
Oct 2, 2010
Posts
12
Reaction score
0
Wandugu, niwieni radhi jamani, me naomba kujua hili suala, hivi kilichokua behind kifo cha mkemia mkuu ni nini?

Poleni kwa kutokwa na mchapakaz wetu.
 
Kwa haraka haraka, mkemia mkuu alifariki kutokana na shinikizo la damu lililomkuta wakati akiwa amelala Lodge huko Tanga alikoenda kuhudhuria maafali ya mtoto wake. Pia rejea thread moja inaelezea vizuri sana. Pole kwa kutokuwa jamvini muda mrefu.
 
Taarifa zilizotolewa awali ni shinikizo la damu
 
kifo cha mkemia ni habari ya a UCHAGUZI 2010?
 
ni shinikizo la damu kwa mujibu wa madaktari
 
inyi
Junior Member

Join DateSat Oct 2010
Posts8
Thanks0
Thanked 0
Times in 0 Posts



Nyie members wa August, September na October sijui mna nini in common..................I am still trying to find out.......!!!!
 

Kupiga kura kwenye mtandao kuongeza kura kwa mkulu
 
kifo cha mkemia ni habari ya a UCHAGUZI 2010?

Inahusianaje na uchaguzi wa 2010 mkubwa wewe? Hebu tuwekane sawa vizuri? Au unataka kutuambia zile kura ni lazima zifanyiwe DNA ili mgombea apata kufahamu kama aliyemhonga kampigia kura au? Kweli nimecheka sana.
 
Kama mnakumbuka ripoti ya kwanza ya polisi walisema marehemu alikula WALI NA CASTLE akaenda kulala, Lakini walipovunja mlango asubuhi walikuta kuna makopo ya HEINKEN chumbani.

sasa tujiulize inawezekan mtu akanywa CASTLE NA HEINKEN?
na sote tunajua wanao kunywa HEINKEN ni waaina gani.

HAYO MASHINIKIZO YA DAMU HUWA MENGI SANA HASA HUKU BUNGENI WABUNGE WANAKUFA HOTELINI TUNAAMBIWA NI SHINIKIZO, sawa limesababishwa na nini?

NB: Msichukue DOGODOGO kutegemea VIAGRA mtakufa!
 


wala usinhangaike mkuu hao wa septemebr na october ni walevi tu hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…