errymars
Member
- Dec 17, 2019
- 98
- 285
Je? Air force one inasiri gani nzito inayo fanya ndege hio Ya kimarekani inayo mbeba raisi wake kuogopwa zaidi,Watu wengi wamekua na mawazo na maswali mengi kuhusu Maajabu ya ndege hii ambayo imekua ikitambulika na vyombo vya habari kama the Flying white house ( Yaani ki ufupi ni kwamba shughuli zote za ikulu ya Marekani zinaweza kufanyika katika ndege hii ikiwa Angani.
Ifikiapo mwaka 2024, iwapo mambo yatafanyika kulingana na mipango iliowekwa na Marekani, Utawala wa rais Joe Biden utapokea ndege mpya aina ya Airforce One .
Ndege za sasa ni aina ya Boeing 747 na sawa na zile zitakazokuja, ijapokuwa zitakuwa aina mpya ambayo ni ndefu na pana zaidi ya mtangulizi wake.