Siri na uongo wa manabii wa sasa

LC300

Member
Joined
Jan 23, 2025
Posts
45
Reaction score
49
Watu wengi hukimbilia miujiza hasa makanisani kwa manabii wetu hapa Tanzania bila wao kujiuliza maswali ya kina na kujijibu.

Kwa wasiojua siri na uovu wa manabii wengi hapa Tanzania na hata nje ya nchi basi na wayajue haya.

Kuna makanisa ambayo ni madogo au machanga yana M-ngu wa kweli lakini watu wengi siku hizi hawayaamini hata kidogo kwasababu ya kutotenda miujiza kama makanisa ya manabii.

Baada ya kujiuliza kwann baadh ya manabii wanajaza watu na makanisa mengine hayajazi? Ina maan wasio jaza hawana M-ngu wa kweli!!

Kinachofanyika ukitaka kujaza lazima utafute connection kutoka kwa anayejaza, lazima uoneshe nia na ueleweke kweli unataka kujua namna ya kujaza (ikumbukwe vitu hivyo ni siri kubwa huwezi pata connection kirahisi tuu) So utapelekwa kwa mtaalam au cheif ambaye atakusikiliza na kujua shida yako na ndipo atakupeleka kwa hao wenye nguvu zao. Nchi kama Nigeria, South Africa na baadhi barani Africa huko ndo wanapatikana.

Mtaalam atakukabidhisha kutoa nguvu watusikiliza kisha utachukuliwa kwenda makaburini utalazwa ukiwa mtupu na kunenewa maneno ambyo yatavuta roho ili uingiziwe hiyo roho ambayo itatenda kazi pamoja nawe lazima uchague kaburi na jina lililopo pale ulitumie wakati unataka kuiita ile roho ifanye kazi jinsi ulivyoomba usaidiwe.

Na ndoo maan baadh ya manabii wana majina ambyo ukiyaangalia au kufatilia sio majina yao halisi. Na wengine huongeza jina katika majina yao halisi ili tuu ile roho waweze kuiita wakati wanaongea ili wewe mtu wa kawaida usishtukie. Pia hata makanisa hupewa majina siri ambayo huwezi ijua na wakati nabii anafanya miujiza hutumia jina hilo kuiita roho ila wewe utasema ni jina la kanisa.

Mf: Njoo upokee muujiza wako leo kanisani na mungu au yesu wa NGO-men hakika atakutendea muujiza. Sasa mmeelewa.

Baad ya hapo utapewa kitu cha kwenda kufukia madhabahuni lengo ni kuvuta watu sasa yaan mf. Kichwa cha ng'ombe au nguruwe au hata kitu kingine ambacho utakifukia kitaoza the way kinavyooza ndo watu wanaendelea kuvutwa na huvutika kweli unajikuta umeenda kwa kushawishiwa na mtu kidog pasipo kufiki kwann nisiamini kanisa la karibu kwan lenyewe M-ngu hawezi kunisaidia.

Miujiza itatendeka kanisani ila sio kutoka kwa M-ngu wa kweli na pia huwa kuna chumvi, mafuta, keki ya upako, maji ya upako na makorokoro mengine hayo kazi yake ni kukuaminisha kuwa ukitumia uwapo sehemu tofauti na kanisani yatakusaidia, kiukweli kinachokusaidia ni imani yako.

Ndio maan kuna wanao nunua hivyo vitu na haviwasaidii. Japo kuna baadhi huwa vinawekewa nguvu ya ile roho ambavyo ni vichache sana ili watu waendelee kutoa ushuhuda na wengine wazidi kumiminika. Ila ukiwa na M-ungu wa kweli huwezi kupata muuzija kupitia hivyo vitu.

Watu kujaa pia huwa ndio chanzo cha mapato kupitia sadaka, mauzo ya vitu vya upako. Ambapo hela pia hunuiziwa pale madhabahuni ili watu waendelea kuzileta bila wao kujua kuwa kuna ambayo inawafanya wapeleke hela madhabahuni pale.

Nimewahi kusikia redio moja ya nabii, inasisitiza sana sadaka yaani hata kama una hela ya akiba wee toa 😂😂 jamani.

Baadhi ya manabii utawasikia wameenda milimani kuomba na wengine husafiri kabisa, jua wameenda kurenew mkataba.

Jiulizeni M-ungu yupo kila mahali kwanini asikusikie wewe unayesali kanisa dogo na la kweli, aende akamsikie mtu anayesali kwa nabii ? Amkeni
 
Wajinga ndio waliwao ....

Na wajingaa ndio mtaji wa wajanja ,pasipokuwepo wajinga hakuna wajanjaa...

Acha wajinga wavunwe na wajanjaa
 
Watajijua wenyewe na upuuzi wao...
 
Je akina sisi ambao utufanyie nn hatuamini hata ututie chumvi ya matako bado tunakuona kama msenge tu hata tuje kanisani utupige prome kumbe tunakuchora tu, watu kama sisi ni kundi gani tunawekwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…