nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Niliangalia ile hotuba ya Profesa Kabudi United Nations General Assembly kimoyomoyo nikasema tumekwisha aisee, yaani kamera ilikuwa iki pan na ku-zoom kwa mabeberu unaona jinsi yanavyokunja uso kwa WIVU haswa pale profesa wetu bobefu la sheria na diplomasia liliposema kwamba ndani ya miaka mitatu tumejenga VIWANDA 4000, ZAHANATI 357, MABARABARA, RELI YA KISASA IKO NJIANI, BWAWA LA UMEME, MADEGE KEDEKEDE KWA CASH MONEY.
Mabeberu yakameza mate kwa uchungu na kutuanza kutuandama tangu kipindi hicho, ila ni kawaida misuguano kati ya donor countries maana na sisi tupo kwenye hilo kundi,sisi siyo masikini jamani,narudia sisi siyo masikini, viwanda vikubwa 4000 in 3 years ni record ya dunia na kila kimoja kinaajiri siyo chini ya watu 5000, hapo ni ajira kama milioni 20 hata kama iwe ajira milioni 5 ila hiyo rekodi ni kubwa kwanini mabeberu na vibaraka wao wasinune?
Leo sisi ndo nchi pekee ambayo wamekufa wagonjwa 10 tu wa corona na inavyoonekana hata ikichukua miaka miwili hatutakuwa na vifo zaidi ya 20, maono ya Rais wetu mpendwa mwenye kutependa wanyonge yamefanya kazi kwelikweli, Mungu kasikia maombi yetu sababu DR John Pombe Jospeh Magufuli NI MNYENYEKEVU, MPOLE NA MACHA MUNGU SANA.
Hata tiba ya kujifukiza imesaidia sana, mabeberu yamenuna tena ngoja nimalizie kwa ku attach picha hapa ya kuonyesha uzembe na ushamba wa mabeberu hata kama wanatengenza magari ila ni washamba hawajui kuyatumia wala hawana swag kabisa. Angalia hapa Angela Markel na mzalendo mnyenyekevu RC Makonda.