hahaaaaaaaaaaaaaaaaaa loh!umenikumbusha kuna mtu alikuja hapa na story ya mtu
kulia kama mbuzi wakati wa mambo ....nilicheka saana...lol
WELL SAID PALSiri ya ndani usiitoe hadharani.
WELL SAID PAL
the thread starts with generic infomration and that is how it is intended to go... sitegemei mtu kuja kusema mke/mume wangu anafanya hivi... i'd rather gather general habits that many people dont share kwa mfano tulipokua boarding kuna jamaa alikua kilala akilala lazima aote anakula, na alikua anaongea kwa sauti... i am sure sometimes hadi leo hali ile huwa inamtokea
au issue like kuuma meno which is a sign ya minyoo
there are other like kulala na kuongea kwa nguvu, kunusa nguo chafu nk
i hope that will clarify
Mimi naona bora yule anaye-snore, maana talking in your sleep ile huwa mbaya sana unajikuta unatoa siri zako nakumbuka kuna jamaa alikuwa anapiga infidelity hadi akiwa usingizini.....siku ya siku amelala na wife wake, wife akamsikia jamaa anaongea usingizini....."Mke wangu ***** tu hawezi fanya chochote" baada ya hapo jamaa aliamshwa usiku usiku halafu jamaa haelewi hata alichokuwa anaongea akawa anabakia kumshangaa wife wake uso ulivyokuwa mwekundu.
Ilikuwa shughuli maana jamaa kwanza haelewi hata alichokuwa anaongea, huku wife nae amefura ile mbaya anataka maelezo jamaa alibakia amepigwa butwaa kama msukule halafu ukichanganya na usingizi wa usiku ndio kabisaaa......lol.... Sijui kama wife ufanyeje?? Maana tatizo la talking in your sleep sio necessary kua umefanya kweli...
Ilikuwa shughuli maana jamaa kwanza haelewi hata alichokuwa anaongea, huku wife nae amefura ile mbaya anataka maelezo jamaa alibakia amepigwa butwaa kama msukule halafu ukichanganya na usingizi wa usiku ndio kabisaaa
Lol.....ngoja nikanawe uso nakuja sasa hivi...Umeona sasa the way ilivo ngumu kukamatisha... The guy was havin wet dreams na mwanamke mingine not the wife... So dissapointing... PA hata hivo out of curiosity from a man's perspective hivi wanaume anaweza kua na wet dreams na wife??
acheni siri zibaki kuwa siri lol!