Siri Nyumba ya Diamond South Africa

Siri Nyumba ya Diamond South Africa

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Hivi wanazengo, Nyumba kweli ingekua ya Diamond , akina Bi Sandra wangeacha kukanyaga south kweli kila siku wale?, na kama tunavyomjua domo, for all this while wakat wameachana , bila shaka angekua kashachukua nyumba zamani, coz zari Ana mamlaka mazito tu kwenye ile nyumba , ndio maana kipindi kile wakat Wanakamati walitangaza kwenda south bidada aliwachamba hataki kuchafuliwa nyumba na walikaa kimya , hata diamond hakusema kitu , kama kweli nyumba ingekua ya diamond asilimia 100 % wala zari asingekua anapost pics akiwa na mwanaume mwingine ndani ya ile nyumba . Domo angekua kashamfukuza

It's either wanashare , Ila Nina uhakika nyumba inawahusu wote wawili na wamechangia, kumbukeni tu zari she was financially stable even before she dated domo, unlike hamisa mobeto ambaye tunamuona kila siku anahangaika kodi ya nyumba.

Ila whatever the case , Zari she is a way smarter ten times kumzidi domo, zari alizaa na domo akiwa na mission yake kichwani, that woman doesn't carry pregnancy for nothing unlike akina hamisa ambae backup yake ilikua waganga na ika fail vibaya mno, zari anajielewa, na if diamond starts war kuhusu mambo ya Mali , zari she will bankrupt him dakika sifuri , coz zari she deals with documents and the most powerful advocates in SA , not bla bla, ako na jeuri coz Anajua anachokifanya.

Diamond atamnyanyasa tu mswahili mwenzie hamisa ambaye wote kichwani Sifuri, Ila sio zari , pale atachemka.

Kama alikua na jeuri ya kumuacha Ivan , ambaye is richer than diamond Na bado akaendelea kula bata, then who is diamond ? , bitches , Zari she cheats with P-square , ask diamond the list of desperate hoes he has been shagging with , then anajiita star, mxiee hata class hawana , wananuka shida tu kama yeye
 
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]leo mmeumbuliwa minions....mbona kulala na trainer!!!

Hamisa kaingiaje sasaa...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]unaumwa na Hamisa kuliko maisha yako binamu!!!!muache Hamisa watu bwana hana time na mtu

Zari ana hela,tajiri Sijui nini....aonyeshe nyumba yake sasa....!!!tuone

Pyeerreeeee....minions poleni
 
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]leo mmeumbuliwa minions....mbona kulala na trainer!!!

Hamisa kaingiaje sasaa...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]unaumwa na hamisa kuliko maisha yako binamu!!!!muache hamisa watu bwana hana time na mtu

Zari ana hela,tajiri Sijui nini....aonyeshe nyumba yake sasa....!!!tuone

Pyeerreeeee....minions poleni

Kama mnajeuri nendeni mkamtoe zari south tuone, Yule sio cheap bitch kama hamisa wenu , kujidai kazaa na staa hata kodi ya nyumba Hana , Tatizo nini ? C muende south mkachukue nyumba muone🤣
 
Kama mnajeuri nendeni mkamtoe zari south tuone, Yule sio cheap bitch kama hamisa wenu , kujidai kazaa na staa hata kodi ya nyumba Hana , Tatizo nini ? C muende south mkachukue nyumba muone[emoji1787]
Haina haja ya kumfukuza daimond muache alee wale watoto yatima pale amsaidie kulea kazi jamani
 
kikubwa tulichokijua leo ni kuwa Zari ni mdangaji na sio boss ledi kama tulivyoaminishwa!yani anagawa kama pipi adi kwa trainer [emoji3]!mambo ya nyumba watajuana wenyewe
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]tena anadanga ndani kwa ndani hana tofauti na wengine huyooo!!!mdangaji wa kimataifaa...eti classic..my foot!!!

Anadangaaaaaaaaaaa!!!!
Tena wengine wanapiga kimya kimya wasijulikane
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nna mudi leo balaa
 
Hivi wanazengo, Nyumba kweli ingekua ya Diamond , akina Bi Sandra wangeacha kukanyaga south kweli kila siku wale?, na kama tunavyomjua domo, for all this while wakat wameachana , bila shaka angekua kashachukua nyumba zamani, coz zari Ana mamlaka mazito tu kwenye ile nyumba , ndio maana kipindi kile wakat Wanakamati walitangaza kwenda south bidada aliwachamba hataki kuchafuliwa nyumba na walikaa kimya , hata diamond hakusema kitu , kama kweli nyumba ingekua ya diamond asilimia 100 % wala zari asingekua anapost pics akiwa na mwanaume mwingine ndani ya ile nyumba . Domo angekua kashamfukuza

It's either wanashare , Ila Nina uhakika nyumba inawahusu wote wawili na wamechangia, kumbukeni tu zari she was financially stable even before she dated domo, unlike hamisa mobeto ambaye tunamuona kila siku anahangaika kodi ya nyumba.

Ila whatever the case , Zari she is a way smarter ten times kumzidi domo, zari alizaa na domo akiwa na mission yake kichwani, that woman doesn't carry pregnancy for nothing unlike akina hamisa ambae backup yake ilikua waganga na ika fail vibaya mno, zari anajielewa, na if diamond starts war kuhusu mambo ya Mali , zari she will bankrupt him dakika sifuri , coz zari she deals with documents and the most powerful advocates in SA , not bla bla, ako na jeuri coz Anajua anachokifanya.

Diamond atamnyanyasa tu mswahili mwenzie hamisa ambaye wote kichwani Sifuri, Ila sio zari , pale atachemka.

Kama alikua na jeuri ya kumuacha Ivan , ambaye is richer than diamond Na bado akaendelea kula bata, then who is diamond ? , bitches , Zari she cheats with P-square , ask diamond the list of desperate hoes he has been shagging with , then anajiita star, mxiee hata class hawana , wananuka shida tu kama yeye
Mond kasema documents zote anazo,huyo malaya na yeye aonyeshe document zake kama kweli anashare....."BITCH IS DYING FOR SHAME"
 
Back
Top Bottom