warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Hivi wanazengo, Nyumba kweli ingekua ya Diamond , akina Bi Sandra wangeacha kukanyaga south kweli kila siku wale?, na kama tunavyomjua domo, for all this while wakat wameachana , bila shaka angekua kashachukua nyumba zamani, coz zari Ana mamlaka mazito tu kwenye ile nyumba , ndio maana kipindi kile wakat Wanakamati walitangaza kwenda south bidada aliwachamba hataki kuchafuliwa nyumba na walikaa kimya , hata diamond hakusema kitu , kama kweli nyumba ingekua ya diamond asilimia 100 % wala zari asingekua anapost pics akiwa na mwanaume mwingine ndani ya ile nyumba . Domo angekua kashamfukuza
It's either wanashare , Ila Nina uhakika nyumba inawahusu wote wawili na wamechangia, kumbukeni tu zari she was financially stable even before she dated domo, unlike hamisa mobeto ambaye tunamuona kila siku anahangaika kodi ya nyumba.
Ila whatever the case , Zari she is a way smarter ten times kumzidi domo, zari alizaa na domo akiwa na mission yake kichwani, that woman doesn't carry pregnancy for nothing unlike akina hamisa ambae backup yake ilikua waganga na ika fail vibaya mno, zari anajielewa, na if diamond starts war kuhusu mambo ya Mali , zari she will bankrupt him dakika sifuri , coz zari she deals with documents and the most powerful advocates in SA , not bla bla, ako na jeuri coz Anajua anachokifanya.
Diamond atamnyanyasa tu mswahili mwenzie hamisa ambaye wote kichwani Sifuri, Ila sio zari , pale atachemka.
Kama alikua na jeuri ya kumuacha Ivan , ambaye is richer than diamond Na bado akaendelea kula bata, then who is diamond ? , bitches , Zari she cheats with P-square , ask diamond the list of desperate hoes he has been shagging with , then anajiita star, mxiee hata class hawana , wananuka shida tu kama yeye