Lol pesa zisikutoe utu na heshima yako ulojijengea bana weeeBibi wee heshima pesa mjini na zari anazo , tafuta pesa uheshimiwe mujini , hata ukikaa uchi utaambiwa mwacheni kuna joto Sasa hivi 🤣🤣
It's not ItsEnglish ngumu
Its ur Ass not us
Tumesema hatutaki (sio hatuwezi) kumfukuza pale sababu watoto wetu wako pale. Acha aendelee kutulelea watoto wetu siku akichoka kukaa pale ataturudishia mwenyewe.Sasa si tumfukuze kwenye nyumba yetuuuuuuuuu
Mi pia niko kama huyo trainer, tutafutane basi tuyajenge.Ila huyo Trainer mzuri, Hata mimi ningempa pap**a lol
Tumesema hatutaki (sio hatuwezi) kumfukuza pale sababu watoto wetu wako pale. Acha aendelee kutulelea watoto wetu siku akichoka kukaa pale ataturudishia mwenyewe.
Actually mtoto wetu mmoja ni raia pale, so indirectly tuna ka uhusiano kidogo na uraia wa pale kwa kuunga unga.Ndoto za alinacha hizi. Mna uraia huko?unazijua sheria za kumiliki nyumba south?
Actually mtoto wetu mmoja ni raia pale, so indirectly tuna ka uhusiano kidogo na uraia wa pale kwa kuunga unga.
hakuna restrictions kwa foreigner kumiliki immovable property SANdoto za alinacha hizi. Mna uraia huko?unazijua sheria za kumiliki nyumba south?
Shikamoo spokeswoman wa Zari jimbo la Jf.Mtaje huyo mtoto maana naona wote ni wasauzi kwa sasa au huna taarifa hio? Pia nyumba ilinunuliwa kwa nguvu ya zari kuwa msouth pia