Siri Nyumba ya Diamond South Africa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kawa kituko kwa kweli
 
Here we are,very very expensive. Happy now madame. Take a chalk and look at the blackboard spell it right Z.A.R.IView attachment 1080111

Dah Ila hii inauma *****

Halafu mbaya zaidi , mtu kanunuliwa nyumba south Sasa , shoga yetu yupo bongo hata kibanda kujengewa hajajengewa kaishiwa kupangiwa na kutelekezwa anaomba omba kodi , kweli zari alisema si yeye aliyewatuma kuzaa na wanaume bila kutumia akili , wapambane kulipa kodi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]🤣🤣🤣

Ila zari shikamoo, sijui alimshika wapi domo mpaka kumkabidhi nyumba , yani domo na ubahili wote ule ***** kwa zari kanyooka, zari shikamoo, inabidi tumuombe aisee atufunze kuzaa na wanaume za watu kwa kutumia akili🤣🤣🤣🤣
 
Mei nimemfahamu mond kupitia Zari. Wewe kama umeipata simu juzi pole. Ulishawahi soma ubuyu kwa sintah?blog ya Zari unaifahamu?enzi anaimba ulikua la ngapi shosti?

Ukiona mtu amemfahamu Zari kupitia mwakitombile ujue huyo amekuja mjini juzi juzi tu hapa. Lakini sisi born town watoto wa mujini in lemutuz voice[emoji12][emoji12][emoji12] tulianza kutumia simu za samsung za kuslide miaka hiyo miaka ya blog hapa kuna sintah.com kule kuna u_turn ukicheki pembeni kuna mashughuli blog lazma umjue Zari maana Sintah alikua anapenda sana kumpost.
 
hii vita hapo kila mtu hapo anajionesha kwa mwenzake kuwa yeye anajiweza, yuko powa.
Ila wote hao wanaumia ndani kwa ndani.
Dalili ni kama hizo kulingishia ma babe wao wapya..
 
Dah Ila mastaa mnakosea wapi ? Mnalalwa na diamond mpaka kuzaa nae Ila ata banda hamjengewi? Mwenzenu mganda kanunuliwa jumba la kifahari Tena pretoria kwa Ma millionaire , hivi mlikosea nini Mungu nyie 🤣🤣🤣, aiseh ebu andamaneni, huyu domo asiwabebe ujinga, ona zari anavyowatukana Sasa , Na ni kweli hamna akili hilo halina ubishi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Na ikamuuma mange ushost wa sinta na zari. Baasi ikawa bifu mara paap mange akaanza lalamika zari kumfananisha lil q na diamond[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawa wakuja full ujuaji oooh bila mond, zari asingekua maarufu aiseeee
 
Shoga angu hamisa , next time ukitaka kuzaa na wanaume za watu tumia akili shoga na sio uchawi , haya umeroga weee ujengewe nyumba na kuolewa kiki wapi sasa ? Kama huna akili ata umalize waganga wote Tanzania , huwez kufanikiwa bitch, have a brain idiot🤣🤣🤣🤣🤣
 
Zari kawafundisha adabu wadangaji wa bongo wamebaki kulia lia na kudaka vidili vidogo kelele nyiiingiii
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sio ile aaah wewe chomoaa usimwage ndani aaah bwana wee humalizi tu kwani unachimba dhahabu humo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zari kawafundisha adabu wadangaji wa bongo wamebaki kulia lia na kudaka vidili vidogo kelele nyiiingiii

Zari kajua kutunyooshea mastaa wetu manina, walijua wakizaa na diamond Na wenyewe watakua kama zari 🤣🤣🤣🤣. Ila binamu nacheka kama mazuri , walijua wanamkomesha zari kumbe wanajikomesha wenyewe manina
 
Na ikamuuma mange ushost wa sinta na zari. Baasi ikawa bifu mara paap mange akaanza lalamika zari kumfananisha lil q na diamond[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawa wakuja full ujuaji oooh bila mond, zari asingekua maarufu aiseeee

Hawana wanalolijua nakumbuka enzi zile u_turn nami nilikua mmoja wa mawaziri[emoji23] pamoja na kina marichui,koku na baby ake ukija kwa Sintah pia nipo. Nilikua napenda ile motivate ya mange Education is Sexy nami nilihamasika sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sio ile aaah wewe chomoaa usimwage ndani aaah bwana wee humalizi tu kwani unachimba dhahabu humo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa ukikutana na sisi wakina mwajuma nichokonoe utasikia" ww baba J bado tu hebu kojoa bwana mm nishachoka mwenzio nataka nikaangalie sultan[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwee wamebaki wamepauka. Photo shooting za kuvizia child support[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zari kajua kutunyooshea mastaa wetu manina, walijua wakizaa na diamond Na wenyewe watakua kama zari 🤣🤣🤣🤣. Ila binamu nacheka kama mazuri , walijua wanamkomesha zari kumbe wanajikomesha wenyewe manina
 
Enzi hizo kila sekunde ni mwammy hivi mwammy vile shopping na kuringishiwa CL mara obag[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mtoto anavalishwa nguo za mtumba kule dubai picha mwaa atakaechamba anashambuliwa na nyie mawaziri eti huko hio nguo ni mtoko safi kabisa kwa mtoko haina haja ya nguo za spesheli
Hawana wanalolijua nakumbuka enzi zile u_turn nami nilikua mmoja wa mawaziri[emoji23] pamoja na kina marichui,koku na baby ake ukija kwa Sintah pia nipo. Nilikua napenda ile motivate ya mange Education is Sexy nami nilihamasika sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…