Siri nzito baada ya kifo cha Patrick..Muna alikuwa na mtoto mwingine

Kweli nimeamini duniani hakuna siri bry kajulikana muna ulificha weeh sasa aibu yako unajifanya kukataa
 
Siku zote nasema usije kuoa wanawake wa bongomovie
 
Dah ,bila nahisi muna alikua kashindikana kwa wazazi,,ni ile type ya binti aliyeshindikana hajali ,

Kwa sasa kaokoka angerudi akawa mtoto mzuri kwa wazazi
 
Kahojiwa na Gazeti, amekataa hana mtoto.....! Yani anakataa kuwa na mtoto mkubwa wa Patrick!
Nami nimesoma kuwa si kweli amekanusha na amempeleka mama yake polisi
 
Si hapo kwenye hapo mmesema demu ni muigizaji kama sijasahau
 
Uhalo huu malizeni insta huku tunajadili vitu vya mhimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…