Siri nzito baada ya kifo cha Patrick..Muna alikuwa na mtoto mwingine

Ndio hivyo mahusiano yalishakufa baada ya kujua Muna ni muongo muongo
Duuh! Tena? Basi hii kali.... Ila namfahamu jamaa yule ni ngumu sana kudumu na binti mmoja......
 
Muwe munaleta habari za watu wenye ufahamu, kama Dangote kuhusu uzalishaji wa saruji, mtu watu ndoto yake kuwa mfanyabiashara mkubwa anaomba ushauri
Lakin wajinga wajinga kama hao tupilia kule.
 
Nawakumbusha tu wanawake Wa kilokole ni wanawake wachawi,wanafiki,waasherati kushinda wanawake wote duniani.
 
Kwa hiyo pamoja na ulokole wake Munalove anazini? Manake najua hana ndoa takatifu na Joel Lwaga.
Hilo ni jibu mkuu. Ingawa ndio napata taarifa humu kuwa wamesha achana. Ila najua walikuwa wanaishi wote bila ndoa takatifu
 
Muna ni aina ya wanawake wa kuogopwa sana, very scaring woman, anasahau dunia ipo kwenye kiwango cha juu kabisa cha teknolojia ya habari na mawasiliano, kila kitu kipo wazi, watu wakihitaji historia yako wanaweza kuipata kwa urahisi nakwa haraka.
 
Hilo ni jibu mkuu. Ingawa ndio napata taarifa humu kuwa wamesha achana. Ila najua walikuwa wanaishi wote bila ndoa takatifu
Maisha bila unafiki hayaendi mkuu, nasikia alishasema mama yake alishafariki, ila ukimtizama yule mama aliyehojiwa na watu wa global publishers wanafanana mno kimuonekano.
 
Maisha bila unafiki hayaendi mkuu, nasikia alishasema mama yake alishafariki, ila ukimtizama yule mama aliyehojiwa na watu wa global publishers wanafanana mno kimuonekano.
Binafsi huyu dada sijawahi kumuelewa tangu kwenye msiba wa mtoto wake. Mara aseme mtoto ni wa mwanaume huyu mara kesho tena anabadilisha anamtaja baba mwingine, nikamuona shit tu
 
Binafsi huyu dada sijawahi kumuelewa tangu kwenye msiba wa mtoto wake. Mara aseme mtoto ni wa mwanaume huyu mara kesho tena anabadilisha anamtaja baba mwingine, nikamuona shit tu
Huyu dada ni fake sana, mambo anayoyafanya huwezi kuamini kabisa, hivi wewe unaweza kumkana mzazi wako kweli?
 
Kahojiwa na Gazeti, amekataa hana mtoto.....! Yani anakataa kuwa na mtoto mkubwa wa Patrick!
Hivi kaka mtu alipata walau fursa ya kuhudhuria msiba wa mdogo wake?

Kama siyo basi huo ni zaidi ya unyama.
 
Maisha bila unafiki hayaendi mkuu, nasikia alishasema mama yake alishafariki, ila ukimtizama yule mama aliyehojiwa na watu wa global publishers wanafanana mno kimuonekano.
Hii nayo hatari.

Kama hawa ndiyo wanawake tunaotakiwa kuishi nao basi kazi kubwa tunayo. Bila akili unazikwa kabla ya mapambazuko ya dunia. Ni kweli Mungunalituletea viumbe wa aina hii kuwa wasaidizi wetu au hawa wa type hii walijileta??

Kama hiintaarifa ni kweli,aishangai kukana kuwa na mtoto mwingine.
 
Huyu haaminiki ata kidogo kwa sasa, kama unaweza kutufunga kamba katika masuala mawili ya nyuma iweje tukuamini katika masuala matatu mapya? Wazungu wana msemo wao wanasema ONCE A LIER ALWAYS A LIER.
 
hata mimi nimezaa na mchaga mtoto kampeleka kwa wazazi wake, atakayekumbana nae atajijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…