Siri nzito juu ya namba 9

Spend mwana jf kueleza maada kwa lugha ya kigeni cjui hawajui kiswahili ua na mjue mnatumia lugha ngeni mnapunguza wigo wa wachangiaji au sio yako umekopi sehemu huwezi kuielezea kwa kiswahili
Basi tunaomba utuelezee kwa kiswahili kama ni yako kweli
 
Hizo namba zilivyoungwa ungwa... but they seem to make sense.

Mi nachojua kuna programu inarun kila kitu ulimwenguni. Kwamba nani kaiweka, kwanini na inahusiana vipi na mimi ndo inabaki imani ya kuwepo kwa Mungu.
 
Nimejaribu kusoma almost yote nakung'amua baadhi ya vitu ambavyo vina ji contradict vyenyewe. Elimu hii ya namba 9 haina tofauti na elimu ya astronomy na watu wanaoamini katika mambo ya inner power from within.
Lengo la elimu hizi zote ni kumtoa binadamu katika lengo kuu la Muumba mbingu na nchi na vyote vinavyoonekana na visivyoonekana.
Nitarudi nikipata muda wa kuingia ndani vizuri
 
144. 9
 
nimesoma hadi nimesinzia.

ila sijaelewa.
 
You seem to be connecting some dots but, if this is true, there should have been a uniform formular to unlock the code rather than random thoughts which definitely leads to everyone coming up with his own meaning or translation of the code(s) depending on method used. Two, i dont see where you vividly prove how that number 9 affects our lives and how to tap that knowledge for our gain. If not done, it all remains a piece of fiction.
 
GOD's signature is number 7:

1. A week has 7days_ 1 seven
2. The moon completes 28 days_ 4 seven
3. Embryo forms in 28 days_ 4sevens
280 days child ready to be born_ 40 sevens
Chicken hatches 21 days_ 3 sevens
Many birds at 35 days,42 days, 56 days all divided in sevens
I can go on and on but when you talk of 6 and 9 we know who use this numbers. Please research further before you find yourself in a web you will fail to leave
 
Usiogope kitu chochote katika kujifunza knowledge and wisdom . ...binadamu anapenda uishi kwenye fear ili akutawale . ....
 
Utukufu wa MAULANA MUUMBAJI umefichwa na ni haki ya mfalme kuutafuta
 
wasioelewa wanaweza dhani ni wewe uliyeelezea kumbe ume copy na kuja kupaste. angalau ungetafsiri kwa ajili ya wasioelewa English.ila kumbuka pia kuweka source/ reference maana umefanya plagiarism. na hili ni kosa. Hii Taarifa si yako.
HII UMEITOA HAPA : The Number 9 | The Secret Knowledge of The Ancients Number Nine Code 911


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…