Shumileta la kisambaa
Member
- Jan 2, 2018
- 58
- 31
Siri nzito hiyo ni ya viti vya plastic ukiviweka juani vinapasuka kwa hiyo kuwa makini Viongozi wa kampuni zinazotengeneza viti hivi waboreshe quality.
Shumi
Shumi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shithole
Otatenane, ndiiima kweli kweli
Hivi ni nini jamani kunileta mbio halafu kumbe unaongelea viti vya kampuni ya Jambo!!!!!
Jinga kabisa
Makubwaa
Umenikimbia.Hivi ni nini jamani kunileta mbio halafu kumbe unaongelea viti vya kampuni ya Jambo!!!!!
Mwehu mwenzako Tito yupo rumande tayari
shabashhhhh
We chiz kweli yaani na kukimbilia uzi kwa mbio zote hizi mpaka nasahau viatu kumbe ni haya maviti mshenzi duuh kwa hali hii wengi utawashika sema hawato comment