Siri sio siri inapotunzwa na mtu wa pili

Siri sio siri inapotunzwa na mtu wa pili

Oscar Wissa

Senior Member
Joined
Sep 5, 2018
Posts
108
Reaction score
170
Anayekutunzia siri zako ametupa na sisi pia tukutunzie, sisi ambao pia tuna watu tunaowaamini, tuliowapa pia wakutunzie ila wasikuambie.

Mwanzo wa siri kutokuwa siri ni kumpa mtu akutunzie.

Sio siri tena!
 
Kwani ni siri ya formula ya cocacola au ndo hizi hizi za ujinga ujinga mara cjui mchepuko, waganga, ukatili na aibu nyingine. acha ziwekwe wazi tutiane adabu.
 
Siri itabaki kuwa siri endapo utakuwa nayo wewe mwenyewe tu. Ikishahamia kwa mtu wa pili (third party) hiyo inakuwa siyo siri tena, inageuka inakuwa "open secret.
 
Binadamu si wa kumuamini! Ukiwa na jambo lako ni kheri uliongee ukiwa peke yako yani ni wewe na nafsi yako zaidi ya hapo HAKUNA SIRI TENA!
 
Back
Top Bottom