Kwani ni siri ya formula ya cocacola au ndo hizi hizi za ujinga ujinga mara cjui mchepuko, waganga, ukatili na aibu nyingine. acha ziwekwe wazi tutiane adabu.
Siri itabaki kuwa siri endapo utakuwa nayo wewe mwenyewe tu. Ikishahamia kwa mtu wa pili (third party) hiyo inakuwa siyo siri tena, inageuka inakuwa "open secret.