Siri usiyoijua juu ya kuachwa kwa Diamond

We angalia utaona baada ya hiyo kiki page ya Diamond inafikisha karibu likes 300k inakimbizana na page za akina Sanchez, Ozil
Kweli wajinga ndio waliwao tunatumika kumtengenezea MTU maisha
 
Mkuu Weka basi hata picha zari ndo nani wengine hatumjui
 
Kiongozi ni kweli ila na wewe umempa kiki mno mondi hapo
 
Nikuume sikio tu, albamu ya Mond ipo njiani kutoka ilicheleweshwa kwa ishu za kawaida. Nyinyi umizeni vichwa kuwajadili , wanaandaa mazingira ya kuitangaza albamu hiyo
 
MTU AMBAYE ANAWAAMINI HAO JANJA JANJA AKILI YAKE HAIPO TOFAUTI NA KISANDU,DR SHIKA AU NABII FEKI TITO......JANJA JANJA NI KIKI TU WAKITOA KAZI MPYA LAZIMA WALETE MOVIE ZAO,NAO HUYO ZARI KAMA MSWAHILI UTAFIKIRI KAZALIWA KWA MTOGOLE.
 
Mimi huwa sifuatilii upuuzi wa diamond na zari,maana umri wangu hauruhusu kufuatilia ujinga
Kuna babu mmoja anakujaga ofisini kwetu, anazijua hzi story za zari na diamond mpk unaogopa,,,afu we una Sema umri,, una miaka mingapi
 
Mimi huwa sifuatilii upuuzi wa diamond na zari,maana umri wangu hauruhusu kufuatilia ujinga
TUKO pamoja..na mimi sio umri tu Bali akili yangu ndio hainiruhusu kbisa kufuatilia huo upuuzi wao
 
" A boy from Tandale "
Jiongeze utapata jibu
 
Karibuni zari utamsikia kwenye bongo movie.... Tehe
 
Nikuume sikio tu, albamu ya Mond ipo njiani kutoka ilicheleweshwa kwa ishu za kawaida. Nyinyi umizeni vichwa kuwajadili , wanaandaa mazingira ya kuitangaza albamu hiyo
kaka demu kamwaga kweli coz nimeona jana bbc swahili demu kahojiwa kasema wameachana kweli na hawezi kurudiana tena na diamond cheki bbc swahili dira tv ya jana
 
Usitumie muda wako kuangalia ya MTU, tafakari ww ya kwako yanafuatiliwa na nani zaid ya kupigwa majungu?
 
Usitumie muda wako kuangalia ya MTU, tafakari ww ya kwako yanafuatiliwa na nani zaid ya kupigwa majungu?
Hapa hakuna majungu sikuumbwa peke yangu duniani so itanibidi nijifunze kutoka kwako na kwa wengine just understand
 
Stupid boy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…