Siri wa kokwa la embe hajapaisha penati kafungia alikoishia mtunzi wa gheto langu

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Wahamiaji kutoka kwenye nchi yenye vidaradara vyetu vingi vya hewan ukanda wetu walikamatwa hapo nchi ya Comoros wakiwa wamepanda Punda, Tena punda ina harufu kama imekula mchuzi wa mfalme,

Mziki ukaanza sasa Nani mmiliki wa Punda? Za ndaaaaaaani baada ya kusikia Punda Ana harufu ya mchuzi wa mfalme,
Wakaanza kufuatilia wakakuta inamilikiwa na Siri wa Kokwa,

Sasa akapangwa mtu wa alikofia mzee wa gheto langu akapewa UJIRA MWIHA wa kutoka Siri wa Kokwa kwamba wajifanye gari ni Jamaa maana itamchafua Kokwa ya Siri hapo Comoros,

Basi

Mchezo umeisha hutasikia Mamlaka za ufalme zikisema jambo hata kama mchuzi unanukia sana

Britanicca
 
Umeeleweka
Siri wa Kokwa Ni Silverta Koka mbunge
Punda ni gari
Mchuzi wa mfalme ni CCM
Gheto langu ni mashairi ndani ya Wimbo wa Ngwaur alifia Afrika kusini,
Hivi leo kumetoka taarifa kwamba mtu wa Afrika kusini amesema gari walilokamata na wahamiaji haramu ni lake, ili kumsafisha Koka

Uhamiaji haramu sio tu hatari kwa Usalama wa Taifa letu, Lakini pia ni hatari kwa Uchumi wetu, tunapokuwa na Viongozi wanaotanguliza matumbo Yao bila kujali Usalama wa Taifa ni hatari sana. Hizi kesi za Human Trafficking ifike mahali Mkuu wa Nchi aingilie kwa Maslahi ya Taifa

Huyu Sylvester Koka apelekwe mahakamani kwa gari lake kutumika kuhamisha watu
 
Katika kosa lilifanyika ndani ya nchi hii ni kuruhusu chama kimoja kukaa madarakani muda mrefu, tena bila ridhaa ya umma. Chama hicho kimekuwa kichaka cha kufugia majizi, wauza madawa, wakwepa kodi, biashara zote haramu na uchafu wa aina hiyo. Ni machafuko tu ama mapinduzi ya kijeshi yatamaliza uchafu huu.
 
IMG_6041.jpeg
 
Wahamiaji kutoka kwenye nchi yenye vidaradara vyetu vingi vya hewan ukanda wetu walikamatwa hapo nchi ya Comoros wakiwa wamepanda Punda, Tena punda ina harufu kama imekula mchuzi wa mfalme,

Mziki ukaanza sasa Nani mmiliki wa Punda? Za ndaaaaaaani baada ya kusikia Punda Ana harufu ya mchuzi wa mfalme,
Wakaanza kufuatilia wakakuta inamilikiwa na Siri wa Kokwa,

Sasa akapangwa mtu wa alikofia mzee wa gheto langu akapewa UJIRA MWIHA wa kutoka Siri wa Kokwa kwamba wajifanye gari ni Jamaa maana itamchafua Kokwa ya Siri hapo Comoros,

Basi

Mchezo umeisha hutasikia Mamlaka za ufalme zikisema jambo hata kama mchuzi unanukia sana

Britanicca
D zangu 2 hazijafua dafu!
 
Ngoja nisome comment nimerudia mara5 sijaelewa
 
Umeeleweka
Siri wa Kokwa Ni Silverta Koka mbunge
Punda ni gari
Mchuzi wa mfalme ni CCM
Gheto langu ni mashairi ndani ya Wimbo wa Ngwaur alifia Afrika kusini,
Hivi leo kumetoka taarifa kwamba mtu wa Afrika kusini amesema gari walilokamata na wahamiaji haramu ni lake, ili kumsafisha Koka

Uhamiaji haramu sio tu hatari kwa Usalama wa Taifa letu, Lakini pia ni hatari kwa Uchumi wetu, tunapokuwa na Viongozi wanaotanguliza matumbo Yao bila kujali Usalama wa Taifa ni hatari sana. Hizi kesi za Human Trafficking ifike mahali Mkuu wa Nchi aingilie kwa Maslahi ya Taifa

Huyu Sylvester Koka apelekwe mahakamani kwa gari lake kutumika kuhamisha watu
We noumaaa
 
Kokwa ya siri hapo Comoros ( kisiwani kama kisiwa cha Zanzibar) . Kuna harufu waarabu wanatumia kokwa ya siri hapo comoros kufanikisha biashara haramu ya human trafficking. Watu wanapotea sana aisee .
 
Back
Top Bottom