britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Katika kosa lilifanyika ndani ya nchi hii ni kuruhusu chama kimoja kukaa madarakani muda mrefu, tena bila ridhaa ya umma. Chama hicho kimekuwa kichaka cha kufugia majizi, wauza madawa, wakwepa kodi, biashara zote haramu na uchafu wa aina hiyo. Ni machafuko tu ama mapinduzi ya kijeshi yatamaliza uchafu huu.
D zangu 2 hazijafua dafu!Wahamiaji kutoka kwenye nchi yenye vidaradara vyetu vingi vya hewan ukanda wetu walikamatwa hapo nchi ya Comoros wakiwa wamepanda Punda, Tena punda ina harufu kama imekula mchuzi wa mfalme,
Mziki ukaanza sasa Nani mmiliki wa Punda? Za ndaaaaaaani baada ya kusikia Punda Ana harufu ya mchuzi wa mfalme,
Wakaanza kufuatilia wakakuta inamilikiwa na Siri wa Kokwa,
Sasa akapangwa mtu wa alikofia mzee wa gheto langu akapewa UJIRA MWIHA wa kutoka Siri wa Kokwa kwamba wajifanye gari ni Jamaa maana itamchafua Kokwa ya Siri hapo Comoros,
Basi
Mchezo umeisha hutasikia Mamlaka za ufalme zikisema jambo hata kama mchuzi unanukia sana
Britanicca
Ngoja nisome comment nimerudia mara5 sijaelewaWahamiaji kutoka kwenye nchi yenye vidaradara vyetu vingi vya hewan ukanda wetu walikamatwa hapo nchi ya Comoros wakiwa wamepanda Punda, Tena punda ina harufu kama imekula mchuzi wa mfalme,
Mziki ukaanza sasa Nani mmiliki wa Punda? Za ndaaaaaaani baada ya kusikia Punda Ana harufu ya mchuzi wa mfalme,
Wakaanza kufuatilia wakakuta inamilikiwa na Siri wa Kokwa,
Sasa akapangwa mtu wa alikofia mzee wa gheto langu akapewa UJIRA MWIHA wa kutoka Siri wa Kokwa kwamba wajifanye gari ni Jamaa maana itamchafua Kokwa ya Siri hapo Comoros,
Basi
Mchezo umeisha hutasikia Mamlaka za ufalme zikisema jambo hata kama mchuzi unanukia sana
Britanicca
We noumaaaUmeeleweka
Siri wa Kokwa Ni Silverta Koka mbunge
Punda ni gari
Mchuzi wa mfalme ni CCM
Gheto langu ni mashairi ndani ya Wimbo wa Ngwaur alifia Afrika kusini,
Hivi leo kumetoka taarifa kwamba mtu wa Afrika kusini amesema gari walilokamata na wahamiaji haramu ni lake, ili kumsafisha Koka
Uhamiaji haramu sio tu hatari kwa Usalama wa Taifa letu, Lakini pia ni hatari kwa Uchumi wetu, tunapokuwa na Viongozi wanaotanguliza matumbo Yao bila kujali Usalama wa Taifa ni hatari sana. Hizi kesi za Human Trafficking ifike mahali Mkuu wa Nchi aingilie kwa Maslahi ya Taifa
Huyu Sylvester Koka apelekwe mahakamani kwa gari lake kutumika kuhamisha watu
Kibaha mokoHuyo Siri wa koka atakuwa mwanachama mtiifu wa CCM.