Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Inaelezwa kwamba kwa sasa Chadema ndio Chama ambacho kinazungumzwa Tanga nzima, Wakazi karibu wote wa Mkoa huo wameamua kuachana na vyama vingine vyote na kuunga mkono Chadema, Ajabu kabisa!
Bali wachambuzi wa siasa wanadai kwamba sababu kuu ya jambo hili kutokea ghafla ni hoja zinazohubiriwa na Chama hicho Jukwaani, na hasa kuhusu Uchumi na huduma za Jamii zilizodoroleshwa na ccm, ambayo imegawa matabaka kwa kuweka familia za viongozi kuwa daraja la kwanza huku raia wote wakiwekwa daraja la chini na kuitwa Wanyonge, viongozi wanaishi kuliko hata alivyoishi Yesu Mnazareth enzi za Galilaya.
Tanga imeelewa hoja za Chadema na kuiamini kabisa
Huu hapa ni Mkutano wa Mlalo, angalia wahudhuriaji walivyojipanga utadhani wanasubiri Mgawo wa hela Taslimu zinazoitwa Takrima
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Chadema yazidi kuifungua Tanga, huu hapa ni Mkutano wa Mwakijembe