Siri ya chupi!

Umesomeka mtumishi,
Naamin km ww unainywa basi itakuwa ni nzuri,
Nikiwa huko nitaiulizia!

...lakini hajakwambia kama inatengenezwa kwa kutumia nini!
kwa mfano nikisikia supu ya utumbo najua inatengenezwa kwa kutumia utumbo, ya mbuzi...ya ng'ombe hali kadhalika..
 
Halafu sasa:
....zamani tulipokuwa tunataka kuona masaburi (ya Ke) ilitubidi kuhakikisha tunaliondoa vazi hili kwanza, siku hizi ni kinyume; vijana hamuwezi kuliona vazi hili hadi mmenye masaburi. Design ya hii kitu imebadilika mno!
 
Nadhani wewe ndo unalifanya siri
kwangu mimi sio siri

Chupi inakuwa siri tu pale inapokuwa mwilini, lakini kuuzwa,kununa, kufuliwa, kuanikwa, kutupwa huwa ni hadharani.
 
Kitu kingine:
Hili vazi lina sifa kuu moja (ukiacha sifa nyingine ndogondogo):

.....Ni vazi la kwanza kuvaliwa na la mwisho kuvuliwa (tusibishane hapo!).

Sio kwa wavaa sketi na gagulo, huku hakuna utaratibu maana hakuna kikwazo.
 
Hahahhaaha....Huyu hataikiwa na matobo hatupi...ndo maana anakwambia anaianika uvunguni. Ana balaa huyu!!!!

Wala hana hasara hizo zenye matobo anazozihifadhi zikijafika 50 pc's anazifua na kuziungaunga na ku'make Chandurua hatokua na job ziada kutoboa matundu.
 
Kuwa ya kwanza kuvaliwa na ya mwisho kuvuliwa inategemea aina ya nguo mtu anayovaa/aliyovaa. Hivyo bado nasisitiza kuwa sio kweli.

Involuntarily huwa hivyo...vinginevyo uamue kupingana na nature.
 

Labda sehemu zako za siri ndo kiungo cha aibu, unajua maana ya aibu ni nini ? mimi nijuavyo kitu cha aibu ni kitu ambacho hustahili kuwa nacho na kama unacho hutaki watu wajue kama unacho. viungo vyetu vya uzazi sio sehemu za siri, kwa sababu teyari tunajua tunavyo na tunajua vilipo sasa siri iko wapi, sio viungo vya aibu kwa kuwa ni haki yetu kuwa navyo.

Kuficha viungo vya uzazi, haina maana kuwa ni siri au aibu, ila ni utamaduni wa kimaumbile, mwanamke au mwanaume anapotoka na mwenzake kwa mara ya kwanza hata kama wamejuana within a day, wanapovua nguo wala hawashangaani wala kuoneana aibu.
 
Vipi wale wamama wanaowapa mahausigeli wao wawafulie mavazi yao na mavazi wa wenza wao..!?
 

Badidilika ndugu yangu. Hakuna siri juu ya chupi kwani watu wanajua kuwa mtu ni lazima avae chupi. Chupi ni vizuri ikaanikwa juani ili ikauke kwa jua. Hiyo ni nzuri kwa afya ya mtumiaji.
 
chupi za watoto zenyewe hazina tatizo...Hapo ndio utajua jinsi MAWAZO yanavyoumba. Wengine wametangulia mbele zaidi...nywele,miguu navyo vimewekwa kundi hili la chupi,yaani visionekane wazi kwani vitakufanya uwe na matamanio. Mimi naenda mbele hatua kumi:hata Mungu unayemfahamu alitengenezwa mawazoni kama chupi...usihamaki hebu rudia kusoma. Mungu ambaye ana kiberiti na petroli, ambaye hata kama ulikufa kwa ajali ya moto lazima akupe mwili upya ili akuchome yeye afurahi...
 
Ukiwa Moshi ama Arusha ulizia kwa akina mama Ntilie almaarufu kama kama mama lishe
Mtumishi,
Tafadhali nifahamishe huwa inatengenezwa kwa mnyama aitwaye chupi au ni chupi hizi hizi nguo tunazovaa au?
Msaada tafadhali hapo.
 
Badidilika ndugu yangu. Hakuna siri juu ya chupi kwani watu wanajua kuwa mtu ni lazima avae chupi. Chupi ni vizuri ikaanikwa juani ili ikauke kwa jua. Hiyo ni nzuri kwa afya ya mtumiaji.

Na kwa bahati mbaya ikaanguka halafu akaiokota yule mtoto wako mtukutu na kuanza kuzunguka nayo mtaani!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…