Cha kushangaza sasa:
Kama vazi hili linavaliwa maeneo ya siri kwa nini linawekwa marembo (hasa kwa wenzetu)/ya nini kuvaa za thamani kubwa.....kwa faida ya nani?
si ndio hapo mbona beach watu hua tunajiachia tu?
si ndio hapo mbona beach watu hua tunajiachia tu?
mkuu huko uvunguni umeweka kamba au unaitupa uvunguni?Most of awa chupiz have toboz, and toboz aa not gud tu bi siin in pabulik. Yangu naanika ndani tena mvunguni, hata soksi
Hili vazi linashangaza kweli!
Dukani linauzwa hadharani.
Wakati wa kununuliwa linanunuliwa kwa siri.
Wakati wa kuvaliwa linavaliwa kwa siri na linavaliwa sirini.
Linaficha siri.
Linafuliwa na kuanikwa kwa siri.
Linapochakaa linatupwa kwa siri.
Kwa nini limekuwa la siri kiasi hiki?
Hili vazi linashangaza kweli!
Dukani linauzwa hadharani.
Wakati wa kununuliwa linanunuliwa kwa siri.
Wakati wa kuvaliwa linavaliwa kwa siri na linavaliwa sirini.
Linaficha siri.
Linafuliwa na kuanikwa kwa siri.
Linapochakaa linatupwa kwa siri.
Kwa nini limekuwa la siri kiasi hiki?
Nadhani wewe ndo unalifanya siri
kwangu mimi sio siri
Kitu kingine:
Hili vazi lina sifa kuu moja (ukiacha sifa nyingine ndogondogo):
.....Ni vazi la kwanza kuvaliwa na la mwisho kuvuliwa (tusibishane hapo!).