Siri ya diamond karanga ni ipi? Nataka niwe natengeneza kwa ajili yangu tuu

Siri ya diamond karanga ni ipi? Nataka niwe natengeneza kwa ajili yangu tuu

divino

Member
Joined
Sep 19, 2017
Posts
62
Reaction score
77
Salaam!
Imekuwa desturi yangu sasa kula hizi karanga,in short tuseme niko addictive.
Hivyo basi ningependa kujua siri ya upikaji wa hizi karanga na mimi nitengeneze mwenyewe.
Natanguliza shukrani.
 
Buni cha kwako mkuu, kuiga kila kitu tutapiga hatua lini?
 
Buni cha kwako mkuu, kuiga kila kitu tutapiga hatua lini?
I guess anataka kutengeneza za kwake ili asiwe anaingia gharama kununua...!!! Labda niwe sijamuelewa.

Japo ninachoamini mimi, mtu wa pili na wa tatu always wanatembelea mapungufu ya mtu wa kwanza. So anaweza akatengeneza karanga bora zaidi, walaji wakapata new taste, ma mkulima akafaidika. Sio mbaya pia.....!!!
 
Exactly hilo ndio lengo langu! Kiukweli nataka nijue kuzipika and I mean it!! Kama nlivokwisha sema niko very addicted boksi 1 tu linaisha within a week[emoji26] so nkimake zangu ntaminimize cost.And besides napenda sana kupika!
 
Mixture of wheat floor na unga wa karanga plus sugar then kwa oven wanaoka
 
Mimi ile sukari ilinishinda kabisa ule unga Wa ngano na sukari labda at least wangetoa toleo lisilo na sukar nyingi kiasi kile
 
mimi hapa nyumbani huwa ni desturi yetu kujitengenezea karanga za mayai na kujiwekua kwenye ka kontena kasicho ingiza hewa..... vidauimond mimi sipendi ule mchanganyiko wake wa nje huwa naona ina taste kama ORAL dehydration....

huwa zinaandaliwa karanga, then unachukua kaqsukari kutegemeana na wingi wa karanga eg. 1KG vijiko vi3-4 mayai mawili unakoroga mchanganyiko wa sukari na mayai hadi sukari yoote au karibia yote iyeyuke ktk yai.

baada ya hapo una mwagia ule mchanganyiko kwenye karanga na kuchanganya vizuri,
utachukua unga wa ngano na kuumwagia kwenye izo karanga na kuchanganya vizuri hadi ngano yote inatie kwqenye zile karanga na kutengeneza ka layer kadogo pembezoni mewa karanga..

mwisho unazitupia katika mafuta yaliyo motoni nakukaanga hadi ziwe brown,

tayari kwa kula ....

yum yum so delicious
 
Mixture of wheat floor na unga wa karanga plus sugar then kwa oven wanaoka
Mi naona dizain kama umenimix kiaina, yaani karanga zinakuwa coated na unga wa ngano plus unga wa karanga tena!?
 
Back
Top Bottom