Siri ya faida nono ya mabenki ya Kenya hii hapa

Siri ya faida nono ya mabenki ya Kenya hii hapa

Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
4,310
Reaction score
7,465
Mara nyingi tu nimeona Wakenya wakijinyambwafai humu eti mabenki yana piga hela ndefu kinyama.

Ukweli ni kwamba 90% ni faida kutokana na riba ya kukopesha serikali ya Kenya.

Rais Magufuli alipoingia ofisini kazi ya kwanza ilikuwa kufuta benki zilizojifanya kupe kama hizi. Hongera Tanzania ipo kwenye right track

Screenshot_2020-01-10_170637.png
 
That's why they are opening branches internationally bringing back foreign exchange for KENYA to enjoy. Soar like an eagle man be free wachangiaji kuishi kikomunist era...ondoa ujamaa kwa mafikra yako. This is 21st Century wewe bado umekomalia 19th...wacha ushamba.
 
Bullshit..These banks cannot survive without the ever broke GoK. Its shame 90% of their profits are attributable to poor taxpayers who shoulder the heavy intrest rates..less than 5% from foreign operations
 
Kumbe ni mavi ya Twitter unatuletea hapa.
 
Sasa benki ya Kenya Equity iliwezaje kutengeneza faida ya KES 2.9Billion, financial year 2018/19, nje ya Kenya kwenye subsidiaries zake ukanda huu? Au hapo utasema siri ni uchawi?
 
Sasa benki ya Kenya Equity iliwezaje kutengeneza faida ya KES 2.9Billion, financial year 2018/19, nje ya Kenya kwenye subsidiaries zake ukanda huu? Au hapo utasema siri ni uchawi?
That was a hard one, consider Mercy while on offensive mode!😂😂
 
Sasa benki ya Kenya Equity iliwezaje kutengeneza faida ya KES 2.9Billion, financial year 2018/19, nje ya Kenya kwenye subsidiaries zake ukanda huu? Au hapo utasema siri ni uchawi?
2.9bn from other countries 16b from GOK.
😂😂 Kupe mfyonza damu
 
2.9bn from other countries 16b from GOK.
Kwahivyo umefungua ka uzi ukitumia tweet kutueleza kwamba siri ya benki kutengeneza faida ni kutoza riba kwa mikopo? Shukran sana genious. Hivi niulize kati ya benki za Kenya na Tz ni zipi ndio huwa zinatoza riba ya juu zaidi?
 
Acha kutoroka mada, kosa ni pale hizi bank za watu na mashirika binafsi kupata faida zao kubwa toka serikalini/ kodi za wananchi, kumbuka hizo pesa zilipaswa kwenda kununua madawa na kuwasaidia wakulima na wafugaji huko Turkana.

Mnaposema Private sector inafanya vizuri Kenya, kumbe ni kwasababu ya kuinyonya serikali, ndio sababu serikali ya Kenya inazidi kufilisika, wakati mabenki ya watu binafsi yanazidi kunawiri.

Wakati Tanzania serikali inazidi kuwa na nguvu za kujenga reli, meli, kununua ndege, kujenga bwawa la UMEME kwa pesa zake, huko Kenya mnaendelea kufurahia mabenki ya watu binafsi kupata faida ambayo huingia mifukoni mwa watu wachache.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha ajabu eti wanakuambia umefungua uzi ukitumia tweet wakati wao wenyewe wamefungua uzi kumsaidia kigogo kueneza uwongo 😂😂😂 unafiki haujawahi muacha mtu salama.
 
If there is one foolish Danganyikan sasa,,,unatuletea opinions za mtu from twitter and you want us to contributr to a debate...….Get something to do.....asfe your ATCL for e4xample from collapsing before it starts flying
 
Why your stupid corrupt government supported by tribal cartels can't pay for even one big project out of pocket without loans?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom