Mjasiriamali1
JF-Expert Member
- Jun 8, 2009
- 891
- 237
haya mafunzo yanaanza lini?0765377506.
Pls sio lazima u comment! Hii ni kwa wale wenye ndoto za kujiajiri yan self employment. Na nikusaidia watz wenzangu wanaohangaika na ajira. Na hii sio biahara ya umachinga no! Ni kuonyeshana oppotunities.
haya mafunzo yanaanza lini?
haya mafunzo yanaanza lini?
Hamna chuo kitakacho kupa elimu ya kupambana na maisha yan jinsi ya kujikwamua unajua kazi ziliwekwa uwe unaenda nakurudi. Mf. Ukimtengenezea bakhresa bil 1. Hawezi kumega mil 100 kukupa kama asnte instead atakutengeneze cheti cha ufanyakazi bora na kukupa mil 1. Au atakukopesha gari la mil 50 thn unalilipa maisha yako yote. Wengi wanafuraia wanapoanza kazi bt wakishazoea mishahara na kuanza maisha ya utumwa wa mda,madeni ndipo wanaanza kufikiria kuanzisha biashara kibaya zaidi hawajui pa kuanzia matokeo yake wanafanya bussiness zenyeKwa kweli ukijaribu kufanya kauchunguzi ka kiana kwakuwaliza walio wengi vyuoni mategemeo yao baada ya kuhitimu karibia 98% watakuambia wanategemea kutafuta ajira ambazo zimekuwa bidhaa adimu hapa Tz, ni wachache sana watakuambia wanategemea kujiajiri, sijui ndo washajiwekea ukisha soma ni lazima uajiriwe na kujiajiri na kwa wasiosoma tu au wenye capital kubwa.
Hamna chuo kitakacho kupa elimu ya kupambana na maisha yan jinsi ya kujikwamua unajua kazi ziliwekwa uwe unaenda nakurudi. Mf. Ukimtengenezea bakhresa bil 1. Hawezi kumega mil 100 kukupa kama asnte instead atakutengeneze cheti cha ufanyakazi bora na kukupa mil 1. Au atakukopesha gari la mil 50 thn unalilipa maisha yako yote. Wengi wanafuraia wanapoanza kazi bt wakishazoea mishahara na kuanza maisha ya utumwa wa mda,madeni ndipo wanaanza kufikiria kuanzisha biashara kibaya zaidi hawajui pa kuanzia matokeo yake wanafanya bussiness zenye
Headache. Sijui unanisoma. Angalia walio thubutu kujiari na wakawa serious wengi wanamafaniakio sana.
Hamna chuo kitakacho kupa elimu ya kupambana na maisha yan jinsi ya kujikwamua unajua kazi ziliwekwa uwe unaenda nakurudi. Mf. Ukimtengenezea bakhresa bil 1. Hawezi kumega mil 100 kukupa kama asnte instead atakutengeneze cheti cha ufanyakazi bora na kukupa mil 1. Au atakukopesha gari la mil 50 thn unalilipa maisha yako yote. Wengi wanafuraia wanapoanza kazi bt wakishazoea mishahara na kuanza maisha ya utumwa wa mda,madeni ndipo wanaanza kufikiria kuanzisha biashara kibaya zaidi hawajui pa kuanzia matokeo yake wanafanya bussiness zenyeKwa kweli ukijaribu kufanya kauchunguzi ka kiana kwakuwaliza walio wengi vyuoni mategemeo yao baada ya kuhitimu karibia 98% watakuambia wanategemea kutafuta ajira ambazo zimekuwa bidhaa adimu hapa Tz, ni wachache sana watakuambia wanategemea kujiajiri, sijui ndo washajiwekea ukisha soma ni lazima uajiriwe na kujiajiri na kwa wasiosoma tu au wenye capital kubwa.
Kwa kweli ukijaribu kufanya kauchunguzi ka kiana kwakuwaliza walio wengi vyuoni mategemeo yao baada ya kuhitimu karibia 98% watakuambia wanategemea kutafuta ajira ambazo zimekuwa bidhaa adimu hapa Tz, ni wachache sana watakuambia wanategemea kujiajiri, sijui ndo washajiwekea ukisha soma ni lazima uajiriwe na kujiajiri na kwa wasiosoma tu au wenye capital kubwa.