kinachotufanya watanzania wengi kuwa masikini ni uchoyo wa information. Alikuja mfaransa m1 alitupatia mafunzo ya jinsi ya kupata mtaji,jinsi ya kuanzisha biashara yako.jinsi ya kukuza biashara yako mafunzo yalikuwa ya wiki 2. Baada ya kukomaa alituonyesha oppotunity nyingi zilizopo tanzania na jinsi wa tz tulivyo lala kweli nilijiona mjinga sana nikasema ndo maana wakija wageni wanatajirika haraka sana nakubaki tuna roho ya kwanini .jamani kuna oopotunity nyinngi sana ss ndo tumelala uku tukibaki kulaumu serikali .plz haya mafunzo yanatolewa bure pale benjamin mkapa tower bure kbsa hamna kiingilio stop blaming anyone except u r self.uwoga wako ndo umasikini wako.kwa wale wanaoamini ktk ujasiriamali plz chk with me nikupe mchakato mzima.
Nimependa sana mjasiriamali mwenzangu.I wish many of turn out to be self employed individuals, participating in key economic sectors of this country. Tusilundikane kwenye biashara ya chuma chakavu, kutakaacha biashara za kutumia elimu na ubongo kwa watu kutoka nje peke yake. Lets have the spirit of we can do it to make life better for ourselves and this nation.
I have started doing it! No matter what one day I would stand out to be a different person!
kinachotufanya watanzania wengi kuwa masikini ni uchoyo wa information. Alikuja mfaransa m1 alitupatia mafunzo ya jinsi ya kupata mtaji,jinsi ya kuanzisha biashara yako.jinsi ya kukuza biashara yako mafunzo yalikuwa ya wiki 2. Baada ya kukomaa alituonyesha oppotunity nyingi zilizopo tanzania na jinsi wa tz tulivyo lala kweli nilijiona mjinga sana nikasema ndo maana wakija wageni wanatajirika haraka sana nakubaki tuna roho ya kwanini .jamani kuna oopotunity nyinngi sana ss ndo tumelala uku tukibaki kulaumu serikali .plz haya mafunzo yanatolewa bure pale benjamin mkapa tower bure kbsa hamna kiingilio stop blaming anyone except u r self.uwoga wako ndo umasikini wako.kwa wale wanaoamini ktk ujasiriamali plz chk with me nikupe mchakato mzima.
wanasema kwamba kuna business inaitwa mult level marketing ni biashara vijana wengi sasa hivi wanaifanya,,, haihitaji mtaji mkubwa useme inabidi utafute hati ya nyumba ukakope bank inahitaji akili yako na wewe unawezaje kutafuta soko,,,, so ukiwa interested unaweza kuitafuta na kujua zaidi kwa email dayookazy@gmail.com au kwa simu 0777409745 watakueleza kila kitu na wapi unaweza kuwakuta na hizo training zao huusu hiyo biashara zinapatikana wapi....
tatizo la ajira limekuwa sugu na sio tz tuu ni dunian kote. Wanaofanikiwa ktk maisha kwa sasa ni wajasiria mali kama sio wanasiasa. leo hii nataka niwafundishe jinsi ya kujiajiri kuwa na big bussiness badala ya kutegemea kuwa mwajiriwa maisha yako yote. Baada ya kukaa kitaa miaka miwili nilibaatika kupata haya mafunzo ya ujasiriamali na sasa maisha yanaendelea vizuri
Unajua waTz kujieleza nako ni tabu.........0765377506.
Pls sio lazima u comment! Hii ni kwa wale wenye ndoto za kujiajiri yan self employment. Na nikusaidia watz wenzangu wanaohangaika na ajira. Na hii sio biahara ya umachinga no! Ni kuonyeshana oppotunities.
mkuu Komando, kwani wanaouza dawa Foreverliving wamekuwa ni wamachinga???????? as long mtu unapata hela ya maana me nadhani haina tatizo maana watu tunatafuta kazi ili tuboreshe maisha yetu sasa kama mtu unaoewa opportunity unaambiwa hapa unakula bila kupoteza chochote sidhani kama itakuuma kama ukifungua genge alafu life kabla hujarudisha mtaji wako
tatizo letu sisi tunajua kusoma lazima ukakae ofisini miaka 30 mwisho wa siku ustaafu na kupiga kelele vitu vinapanda bei na serikali yenyewe mwisho wa siku hata hawatusikilizi wananchi tunazidi kuumia tuuu hapa
me nadhani kila mtu atumie kila opportunity inayokuja mbele yako bila kujali kiwango chako cha elimu..... maana hata ukiwa na PHD ukipita barabarani haman mtu anayeitambua ndugu yangu inatambulika tuuu ukiwa na hela na mtu akikuona wa tofauti....... sasa sie tunaochagua kazi ndio mwisho wa siku tunakuja kudai mafao hadi tunakufa bila kuyapata
me nashauri kuliko ukae nyumbani bila kazi ukisubiri kazi nzuri itokee fanya chochote kinachokuja mbele yako as long ni cha halali angalau upate cha kuprintia barua zako za application la sivyo stress zitatuuwa mjini hapa
tujiwekee tabia ya kujifunza kitu kabla hatujakifanya jifunze, ielewe then amua
msinichambe ni maoni tuuuu