Siri ya kudumu kwa CCM madarakani ni nini?

State Propaganda

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2024
Posts
542
Reaction score
1,286
Kwa kifupi sana, naomba kujuzwa ni namna gani hiki chama kikongwe kabisa cha ukombozi barani Afrika na kama sio duniani, chenye alama ya "Jembe na Nyundo" kimeweza kuendelea kusalia madarakani mpaka leo hii February tano 2025, huku kukiwa hakuna hata chembe au dalili yoyote ya kung'olewa madarakani.
 
Sio wachoyo kulambishana Asali halafu kula usimguse mwenzako. Wizara ya fedha lengo kuu ni kuhakikisha CCM inabaki madarakani kwa gharama yoyote ile.
 
Ilianzia kanisani na inalindwa kama Dini vile!Kwa akili ya kawaida TANU na ASP haiwezi leta CCM hasta ukiunganisha maneno!

Kitu Cha kanisa ndani ya nchi Toka vatican ndio hicho kinatawala Bakwata!!

Mwanaccm Alie hai anaelewa vema!
 
Ujinga wa watanzania.
 
kung'olewa madarakani.
Dalili mojawapo ya mbwa wa kijani kuelekea kufa ni kupoteza uwezo wa kunusa.Ilhali nyoka wa kijani anayetaka kufa hukimbilia barabarani.

Usiku mwema. It is time for Tundu Antipas Lissu.
 
Sio wachoyo kulambishana Asali halafu kula usimguse mwenzako. Wizara ya fedha lengo kuu ni kuhakikisha CCM inabaki madarakani kwa gharama yoyote ile.
Dah!! Hizo asali si ni pesa za walipa kodi lakini?
 
Ilianzia kanisani na inalindwa kama Dini vile!Kwa akili ya kawaida TANU na ASP haiwezi leta CCM hasta ukiunganisha maneno!

Kitu Cha kanisa ndani ya nchi Toka vatican ndio hicho kinatawala Bakwata!!

Mwanaccm Alie hai anaelewa vema!
Hiii mbona kama imekaa ki-conspiracy hivi mkuu!?
 
Siri ni wizi wa kura na kutumia vyombo vya dola kuvuruga mchakato mzima wa uchaguzi kupitia tume ya uchaguzi, tamisemi,polisi,usalama wa taifa n.k
Kwa hiyo unataka kutuaminisha kuwa chaguzi zote tangu 1995 ccm wameshinda kwa wizi??
 
Kwa kifupi sana, naomba kujuzwa ni namna gani hiki chama kikongwe kabisa cha ukombozi barani Afrika na kama sio duniani, chenye alama ya "Jembe na Nyundo" kimeweza kuendelea kusalia madarakani mpaka leo hii February tano 2025, huku kukiwa hakuna hata chembe au dalili yoyote ya kung'olewa madarakani.
usingizi mzito wa wananchi
 
Dalili mojawapo ya mbwa wa kijani kuelekea kufa ni kupoteza uwezo wa kunusa.Ilhali nyoka wa kijani anayetaka kufa hukimbilia barabarani.

Usiku mwema. It is time for Tundu Antipas Lissu.
Ndio umetoa tabiri ya kuwa TAL ndio raisi October 2025 au nimekuelewa vibaya!?
 
Hiii mbona kama imekaa ki-conspiracy hivi mkuu!?
Ndivyo ilivyo!TEC wakikupiga nyaraka za kutosha hutoboi!muulize msoga 2010,jpm na sasa Mama wanajua!nyaraka za TEC ni nyaraka za wenye nchi!!!

Ngoja tuone kama mama atatoboa coz waraka wa kupinga DP ulisomwa siku 30 mfululizo hiyo ni ticket tosha kabisa!!
 
Kwa kifupi sana, naomba kujuzwa ni namna gani hiki chama kikongwe kabisa cha ukombozi barani Afrika na kama sio duniani, chenye alama ya "Jembe na Nyundo" kimeweza kuendelea kusalia madarakani mpaka leo hii February tano 2025, huku kukiwa hakuna hata chembe au dalili yoyote ya kung'olewa madarakani.
Wizi wa kura
 
Back
Top Bottom