State Propaganda
JF-Expert Member
- Apr 25, 2024
- 542
- 1,286
Ilianzia kanisani na inalindwa kama Dini vile!Kwa akili ya kawaida TANU na ASP haiwezi leta CCM hasta ukiunganisha maneno!Kwa kifupi sana, naomba kujuzwa ni namna gani hiki chama kikongwe kabisa cha ukombozi barani Afrika na kama sio duniani, chenye alama ya "Jembe na Nyundo" kimeweza kuendelea kusalia madarakani mpaka leo hii February tano 2025, huku kukiwa hakuna hata chembe au dalili yoyote ya kung'olewa madarakani.
Ujinga wa watanzania.Kwa kifupi sana, naomba kujuzwa ni namna gani hiki chama kikongwe kabisa cha ukombozi barani Afrika na kama sio duniani, chenye alama ya "Jembe na Nyundo" kimeweza kuendelea kusalia madarakani mpaka leo hii February tano 2025, huku kukiwa hakuna hata chembe au dalili yoyote ya kung'olewa madarakani.
Dalili mojawapo ya mbwa wa kijani kuelekea kufa ni kupoteza uwezo wa kunusa.Ilhali nyoka wa kijani anayetaka kufa hukimbilia barabarani.kung'olewa madarakani.
Dah!! Hizo asali si ni pesa za walipa kodi lakini?Sio wachoyo kulambishana Asali halafu kula usimguse mwenzako. Wizara ya fedha lengo kuu ni kuhakikisha CCM inabaki madarakani kwa gharama yoyote ile.
Hiii mbona kama imekaa ki-conspiracy hivi mkuu!?Ilianzia kanisani na inalindwa kama Dini vile!Kwa akili ya kawaida TANU na ASP haiwezi leta CCM hasta ukiunganisha maneno!
Kitu Cha kanisa ndani ya nchi Toka vatican ndio hicho kinatawala Bakwata!!
Mwanaccm Alie hai anaelewa vema!
Mimi ni raia wa kawaida tu mlipa kodi.KWANI WE NANI????
Kwa hiyo unataka kutuaminisha kuwa chaguzi zote tangu 1995 ccm wameshinda kwa wizi??Siri ni wizi wa kura na kutumia vyombo vya dola kuvuruga mchakato mzima wa uchaguzi kupitia tume ya uchaguzi, tamisemi,polisi,usalama wa taifa n.k
usingizi mzito wa wananchiKwa kifupi sana, naomba kujuzwa ni namna gani hiki chama kikongwe kabisa cha ukombozi barani Afrika na kama sio duniani, chenye alama ya "Jembe na Nyundo" kimeweza kuendelea kusalia madarakani mpaka leo hii February tano 2025, huku kukiwa hakuna hata chembe au dalili yoyote ya kung'olewa madarakani.
Ndio umetoa tabiri ya kuwa TAL ndio raisi October 2025 au nimekuelewa vibaya!?Dalili mojawapo ya mbwa wa kijani kuelekea kufa ni kupoteza uwezo wa kunusa.Ilhali nyoka wa kijani anayetaka kufa hukimbilia barabarani.
Usiku mwema. It is time for Tundu Antipas Lissu.
Ndivyo ilivyo!TEC wakikupiga nyaraka za kutosha hutoboi!muulize msoga 2010,jpm na sasa Mama wanajua!nyaraka za TEC ni nyaraka za wenye nchi!!!Hiii mbona kama imekaa ki-conspiracy hivi mkuu!?
Unauliza jibu!Kwa hiyo unataka kutuaminisha kuwa chaguzi zote tangu 1995 ccm wameshinda kwa wizi??
Wizi wa kuraKwa kifupi sana, naomba kujuzwa ni namna gani hiki chama kikongwe kabisa cha ukombozi barani Afrika na kama sio duniani, chenye alama ya "Jembe na Nyundo" kimeweza kuendelea kusalia madarakani mpaka leo hii February tano 2025, huku kukiwa hakuna hata chembe au dalili yoyote ya kung'olewa madarakani.
HAYO MENGINE WAACHIE WENYEWE AU UNAPIGA KURA???Mimi ni raia wa kawaida tu mlipa kodi.