Siri ya kufaulu kwa shule za serikali hii hapa

Siri ya kufaulu kwa shule za serikali hii hapa

Achoki

Senior Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
151
Reaction score
60
kwa wale wanaosoma st kayumba hii inaweza kuwasaidia.Ili kufaulu unashauriwa kufanya yafuatayo
1. jenga utamaduni wa kujisomea WEWE MWENYEWE vitabu ambavyo vinaonekana ni vya maelezo mengi mfano kwa wale wa o-level vitabu kama major event -history, lambert-kemia, aboot -physics na kwa wale wa A- Level vitabu kama chand (physics, chemia, maths,biolgy nk) hii inakujengea uelewa wa concept husika nasema hivi kwa sababu kama unajihusisha na vitabu vilivyo samaraiziwa itakusumbua endapo utachengwa kidogo kwenye mtihani.ushauri wangu katika hili jaribu kutumia pamphlets kama sehemu ya kusavey topic husika na siyo sehemu ya kujisomea ukaishia hapo.
2.kufanya kwa uhuru jambo lolote unalolipenda mpaka uhakikishe umetosheka then nenda kasome.hii nna maana kwamba wanafunzi wengi wanajisomea sana ila wanachokisoma hawakielewi hii intokana na kuingiza jambo tofauti kichwani mwake ambalo amelifikilia akalifanye baada ya kutoka kusoma,hautakiwi kuweka mawazo ya kitu utakachofanya baada ya kusma kama utafanya hivyo itakufanya wewe ujisikie usiye na hamu ya kusoma hivyo kukaa kusubri hicho kitu unachotaka kukifanya, itambulike kwamba ili kichwa kiweze kushika mambo ni lazim kichwa kiwe huru ,yaani kisiwe na mawazo tofauti na kile unachotaka kukisoma
3. kuweka akilini kitu unachotaka kukisoma masaa matano kabla hii itaufanya ubongo wako kujiweka tayari kufanya hicho unachotaka kukifanya .wanafunzi wengi huwa hawana uhakika na wanachokwenda kukisoma saa moja ijayo hivyo ubongo unakuwa hujajiandaa
4.kwa wale mnaosma DAY muda mzuri wa wewe kujisomea ni kuanzia saa 9: usiku kwa sababu wakati kichwa kinakuwa kimepumzika vya kutosha pia tumia wikiendi iwe ndio siku yako ya kujisomea vitu vngi
5.tumia DISCUSSION kama sehemu ya kuhakisha kama umeelewa ulichokisoma hii itakufanya uweze kuwelewa udhaifu wako
6. tamani kitu ulichokielewa wewe vizuri na mwenzio akielwe ikiwezekana waombe marafiki zako uwafundishe hicho kitu
7. jaribu kukomvis discussion ya darasa mara nying hii husaidia kutatua maswali ambayo yanaonekana ni magumu, lakini kiuharisia hakuna jambo gumu, unalolijua wewe mwenzako halijui na analolijua mwezako pengine wewe hulijui
8 acha kasumba ya kuona furani kilaza hawezi kitu,kwani hata chizi ana kitu cha kukusaidia we mtu mzima
TO BE CONTINUING............
 
Namba 1,5 na 6 nimezipenda sana kwa sababu hata mimi ndo zimenifikisha nilipo.
 
Dembalapi hata sisi tuliosoma Azania,Pugu,Tabora girls, boys,ilboru nk tulifanya hivyo,

NO 2. Niiongezee nyama kidogo, ewe msomi jifunze kukaa mezani si chini ya saa 2, hakikisha REF. NO 2 juu kwamba uwe na hamu ya kufanya hivyo

zaidi ya hilo jifunze kukaa peke ako mara chache ktk siku wiki ukiwaza nini ufanye na utafakari masomo na maisha yako.

Pia jifunzeni kukaa mbali na mapenzi, si ngono tu, TV, nk tumia JF KAMA SHULE, CHUo, TUITION nk
 
Mkuu huo ushauri sio tu kwa wanakata bali hata kwa wanafunzi wa chuo, Mungu akubariki.
 
Back
Top Bottom