kweli mkuu don't forget your history and know your destinysultan ndo alieujenga mji huo.
kwamaana nyingine mkataba ulikua uishe mwaka 1938...lakini katikati ya hapo ikatokea vita ya kwanza ya dunia na wajerumani wakaondoka Tanganyika na kumwachia mwingereza...je nini ilikua hatima ya huo mkataba wa kukodi ukanda wa pwani kwa miaka 50?
tungoje wanazuoni waje kutegua kitendawili hiki.:bange: hapa naona kama pana jambo vile!!! mabaharia wangu
Ni kweli mpaka wa hapo kale zanzibar ilikua na bagamoyo mlandizi dar mto rufiji kuelekea baharini