Siri ya macho katika kumtambua mtu

Siri ya macho katika kumtambua mtu

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Kuna kitu kinanichanganya, wahalifu wakienda kuvamia sehemu uficha sehemu na kubakisha macho wakidhani hawatatambuliwa kwa kuonwa macho magazeti yakitoa picha yakitaka mtu asitambuliwe huficha macho

Sasa swali je macho yanaweza kumfanya mtu asitambulike au atambulike? wapi wako sahihi, wahalifu au magazeti?
 
macho, pua na mdomo ndio sehemu humfanya mtu atambulike kwahyo ukifunika mojawapo haitakuwa rahis kumtambua mhusika
 
kama hmjui hutamtambua ila kama unamjua hakuna kitu kama hicho kuna masikio nywele midomo na pua vyote hivyo ni vielelezo ndio maana tunatambuana hata kutokea nyuma
 
Macho ndiyo yanaleta taswira kamili ya mtu, waharifu wasioficha macho ni wapumbavu.v
 
Back
Top Bottom