gen parton
JF-Expert Member
- Jan 15, 2013
- 642
- 410
toka jina la nchi yetu pendwa TANZANIA lilivyoanza kuchafuliwa na sifa mbaya ya kua kimara wa biashara ya dawa za kulevya Africa mashariki na zaidi ya hapo nimekua na mashaka sana hapa nchini kuna uwezakano mkubwa kuna kiwanda cha kutengeneza midawa hii hebu jaribu kufuatilia utakuta wote wanakamatwa utakuta wametoka nao hapa nchin au walikua wanataka kuingiza nchini malighafi za kutengenezea bidhaa hiyo haramu mfano mzuri malighafu inayotumika kutengenezea kinywaji cha cocacola ndio hiyohiyo hutumika kutengenezea madawa ya cocein japo hupitia process tofauti na kuongezwa chemical zingine we have look this problem in 3d kuna wajanja hapa wantucheze shere si kweli leo wa tz wamemkia nchi za watu kuyakusanya haya madawa tuambiwe ukweli mwenye mawazo tofauti karibuni tufunguane akili