Siri ya mafanikio ya Bishanga (for ladies only).


aaaallllaaaa kumbe,ngoja nihame uzi!
 
we ndo ulitufundisha ku brag humu ndani,umesahau uzi wako?

ADI Caught RED HANDED!! lol

Na King'asti nae...?

King' yeye ana nyumbani kwake.... Kaolewa na kakangu Paw....



Nishaanza kuzoea..... Wifi King' kabahatika saana safari ya kwenda kutalii dunia nzima (Paw alimpa kama hongo King alipotaka kuomba talaka); Hivo itamchukua mda kidogo hadi aweze kurudi... itabidi uwe mvumilivu wifi; najua mwapendana na you miss her...

Kweli wamjua kakako.... hahaha.... bado tuna negotiate... lol
 
bado hadi mchana nimewekewa drip hapa au nikuwekee photo?
Pole mpendwa... Everything will be ok kwa uwezo wa Mungu, maadam unahema mpaka leo ni jambo la kumshukuru Mungu! Ila na wewe umekuwa teja la jf, mgonjwa gani hutulii kitandani? Ningekuwa karibu hapo ningemwomba daktari akuchome sindano ya usingizi.. Pole again and get well soon!
 
mi mhaya bana!
btw Nitts hajambo? mbona haonekani? au umemfungia ndani kisa wivu?
Nakuaminia kwa masifa!

Nitts kasafiri kidogo, sijamfungia na kamwe siwezi kumfungia manake nna hakika hakuna wa kuninyang'anya... Amefika kwangu, mie pia kwake nimefika!
 
Ashadii,yesterday i said you are a genius but i think you are more than that.Hebu ni-PM,may be you can revive my alraedy lost direction


Kikungu taratiiiiibu..... Ukinisifia kiasi hicho kichwa chaweza burst! I am humbled thou....
 
thax vile tu sina kitu cha kufanya now besides nawalike sana humu . Nashukuru pia mlivonisindikiza vizuri akhera ingawa sikufika .pamoja saaaana
 
Kikungu taratiiiiibu..... Ukinisifia kiasi hicho kichwa chaweza burst! I am humbled thou....

AshaDii unajua nakumiss sana aise
Ukiwa humu ndani unanifanya nione raha ya kuendeela kuwamo
Though umenitupa sana
(mhh Bishanga kashasema uchakachuaji umekuwa prohibited)
 
jamani eh nani mwenye namba ya Kova,Bishanga anaibiwa mchana kweupeeeeeee!
 
thax vile tu sina kitu cha kufanya now besides nawalike sana humu . Nashukuru pia mlivonisindikiza vizuri akhera ingawa sikufika .pamoja saaaana
Hahahahaaa! Ulianza kujisindikiza mwenyewe bana na sisi ndo tukafuata nyayo zako...

Mungu ni mwema manake yuko upande wako, shetani ameshindwa!
 
Bishanga leo ni wetu, hatumwachi asee.. Chezeiya bepari la kihaya weye?[/QUOTE]
mnataka kunifanya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…