Siri ya mafanikio ya mwanaume nyuma ya mwanamke

The redemeer

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2025
Posts
1,497
Reaction score
2,681
.
Angalisho.

Binafsi mimi ni mwafrika mkristo, hivyo naamini zaidi Biblia na ndicho kitabu nachokifuatilia Au kukisoma zaidi.
Ni katika harakati za kumuuliza Mungu wangu majibu juu ya maswali tata yanayotutatiza hasa Waafrika.
Ndipo Nilionyeshwa siri ambayo sikuwa naijua au kusikia popote, nadhani hata posti yangu ilikuwa ya kwanza kusema kile nilichobainishiwa.

Kwa hilo, sina sababu ya kuwa napigia debe Quran au kuikosoa Biblia lah!.
Bali ninaelezea kile nilichoonyeshwa na uwezo ambao siwezi kuuelezea.

Itachukua muda watu kutilia maanani, siri ya mahusiano ya Quran na Biblia, niliyoiposti katika mada ya Funguo za Qurani na Biblia.

Sababu ni jambo jipya kabisa na aliyesema si mtu maarufu, ila siku mtu akaamua kufuatilia maneno yangu, ataelewa kama kilichofichwa katika Biblia kimefunuliwa katika Quran.

Kwa mtililiko ule ule leo nina jipya katika sura halisi.

Biblia kama kitabu cha njia panda, kimeandika kama mwanaume anapaswa kuwa na mke mmoja tu.
Lakini Quran, kitabu cha hitimisho au chenye kusahihisha au kutegua mafumbo ya Biblia kimeandika kama mwanaume anaruhusiwa kuwa na mke zaidi ya mmoja, walau wasizidi wanne.

Ukirudi katika ukristo, Yesu hakuwahi kuoa, ikiwa na maana kwa kama wakristo tukimuiga yesu tulitakiwa tusiowe.
Ila kwa kuwa Yesu si Mungu, tutaachana na Kawaida ya Yesu na kufuata kauli ya Mungu kumtaka mtu kuwa na mwenzi wake.

Nyuma ya pazia katika ndoa Mungu alikusudia vitu vingi, lakini vikuu ni kutunza uzao na baraka za watu kupitia ndoa.

Kutunza uzao ni kuwa, ukitoa ndoa hakuna muendelezo wa watu, ikiwa na maana waliopo wazeeke wafe imetoka hiyo.

Ila sababu ya ndoa kuna, wengine wanazaliwa kuchukua nafasi ya wanaokufa.
Baraka za watu kupitia ndoa, ukiachana na baraka za uzao Na maarifa.
Kuna baraka za kiuchumi, na baraka za mafanikio kiutawala.

Ukizama katika maandiko, utagundua kati ya wafalme waliokuwa na mafanikio makubwa, kiutawala na kiuchumi, waliofanikiwa zaidi ni wale waliokuwa na wake wengi.

Mfano Mfalme Daudi utajiri na nguvu zake kiutawala hawezi kwa mwanaye Suleimani ( Solomoni )
Baba wa imani Ibrahimu alikuwa na wake wanne lakini bado hakumfikia, mfalme Solomoni ( Suleiman ) kwa nguvu kiutawala na kiuchumi.

Mfalme Solomon (Suleiman) ndiye mfalme pekee aliyekuwa na nguvu za kiutawala, mfalme tajiri, maarufu kuliko wote katika historia Ya kimaandiko.

Na ilikuwa hivyo sababu ya kuwa na idadi kubwa ya Wake zake.

Ukiachana na Solomon, na wengine waliobarikiwa sana sababu ya wanawake.
wafalme, machifu, na watu maarufu katika historia halisi ya Dunia hasa Afrika, walikuwa na ndoa nyingi au walikuwa na wake wengi.
Pia waislamu wengi wenye wake zaidi ya mmoja wana baraka za kiuchumi zaidi ya wakristo wenye mke mmoja.
Hapo sijaoanisha mafanikio ya walioowa na ambao hawajaowa.

Leo sichanganui faida kwa kina sababu bado nipo katika maombi ya kupata ufumbuzi wa jambo fulani ambalo wakoloni wamelificha kwa kile walichokiita ukimwi.

Ila kwa ufupi wewe mwenye mke mmoja au mwenye wake wengi, Mungu kaficha mafanikio yako ya kiuchumi na kiutawala kupitia mke wako.
Na ndiyo siri ya serikali zote kutotaka kiongozi msela.

Kumbuka Maandiko hayakuandikwa kwa herufi bali maumbo hivyo, Waliotafsiri maumbo kuyaleta katika herufi si maumbo yote waliyaelewa kisahihi, sababu hayakukusudiwa kwao.

Maana harisi ya fumbo la Michoro iliyopewa jina Adamu, Hawa, Nyoka na Tunda na wakiwa uchi.

Ni kuwa mfalme alimuomba Mungu Hekima na maarifa ya kutawala ( kujua mema ma mabaya ), Mungu akampa hivyo kupitia Mwanamke.

Ndipo mfalme akatawala vizuri kwa hekima, na maarifa.

Adamu ni mfalme, Hawa ni mkewe, nyoka ni alama ya hekima na maarifa, Tunda ni utawala.
kujua, Mema na mabaya( kujikuta wa uchi), ni kupata uwezo wa kujua utawala mbaya na mzuri.
Na ndiyo maana mfalme Solomoni alimuomba Mungu Hekima ya kutawala vizuri na akapewa utajiri mkubwa kupitia wake wengi ikiwa na maana kadri unavyokuwa na wake wengi ndivyo mafanikio yako yanakuwa makubwa.

Sasa si kuoa wengi ndiyo suruhu. Hata mke mmoja inatosha kikubwa. Ufungue baraka za mke kwako.

Njia za kufungua baraka za mwanamke ni upendo na maelewano.

Lakini kubwa kuliko zote ni kuhakikisha mwanamke wako kafika kilele katika tendo.

Kadri unavyomfikisha kileleni mwanamke awe mmoja au wengi ndipo unafungua mambo yako.
Hiyo ni sababu na jibu la kwa nini watu wa zamani walikuwa na wake wengi na walimudu maisha, leo mke mmoja tu ni mtihani.

Ko hata kama una mmoja hakikisha kafika mshindo, afu kesho muage ukienda job na aseme ubarikiwe uone kama baraka itapita bure. Nimesema leo, sichanganui Kwa kina. Una haki ya kupuuzia au kujaribu.

Sababu ya changamoto ya wengi katika kufika au kufikisha kileleni.
Punde tu nitaposti dawa ya nguvu za kiume na za kike.
 
A

Asante mtumishi kwa somo zurii
 
Back
Top Bottom