Kama title inavyojieleza. Katika utafiti simple nilioufanya nimegundua kuwa jina la mtu au kitu lina affect jinsi maendeleo ya huyo mtu au kitu kitavyokuwa. Mfano mtu mwenye jina linaloanzia na R ni mtu anaependa sana usafi na anabahati ya kupata umaarufu mkubwa kwa urahisi kuliko mtu mwengine yeyote yule. Lakini mtu huyu hajui kutunza mali zake na huzitapanya hovyo. Mtu huyu ni anampenda mno mtu mwenye jina linaloanzia na J au V na yuko tayari kumfanyia lolote
Mfano mwingine mtu mwenye jina linaloanzia na E mtu huyu huwa mvivu na anaependa mteremko yani ye anapenda aletewe tu ila ye kazi mwiko. Starehe moto na ni mlevi sana.
Mfano mwingine mtu mwenye jina linaloanzia na J mtu huyu ananyota ya kupendwa na kuaminika sana na watu lakini yeye sio mtu muaminifu hasa kwenye mambo ya pesa ni mwizi na mwenye tamaa na hubadilika mda wowote kutokana na maslahi yake.
Mtu mwenye H. ni mtu mbinafsi sana na huwa hapendi kusaidia wengine ukiona anakusaidia ujue kuna kitu anakitaka kutoka kwako anamaslahi yake mwenyewe. Hupatana sana na mtu mwenye jina linaloanzia na D au P
Mtu mwenye jina linaloanzia na M ni mtu mkali mchoyo na anapenda sana wanawake kwa hili anaweza fanya lolote ampate mwanamke afanye nae ngono lakini watu hawa huwa hawana msaada wowote kwa familia yake hata kama babake anakufa hawezi kutoa hela yake mfukoni mahali pekee atatoa hela ni kwa wanawake na kama ni mwanamke naye ni mbinafsi na anapenda ngono sana kama wanaume. Mtu huyu huzama kwa mtu mwenye jina linaloanza na E. Na humsaidia kwa chochote pia.
Nitaendelea