Siri ya malori aina ya Fuso kuwa na mataa mengi tofauti tofauti

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,587
Hii ni kwaTanzania!

Mafuso mengi barabarani yakuwaga na mataa mengi mengi tofauti tofauti juu na chini na katika kila pembe! Hasa usiku.

Fuso inakuja utafikiri ukumbi wa harusi! Mataa mpaka chini ya uvungu!

Shida ni nini?

Siri ni nini?
 
Hakuna siri yoyote zaidi ya mapambo tu, ni kweli magari mengine usiku utafikiri pub lakini ni urembo tu
 
Ili kuonyesha urefu na ukubwa wa gari mida ya usiku kwa watu wenye akili ndogo kama zako mkiazima magari ya shemeji zenu msichomekee tu bila kuliona kama ni lorry maana utagongesha na kuharibu hako ka passo ka shemeji ako halafu akurudishe kijijini kwenu
 
Hii ni kwaTanzania!

Mafuso mengi barabarani yakuwaga na mataa mengi mengi tofauti tofauti juu na chini na katika kila pembe! Hasa usiku.

Fuso inakuja utafikiri ukumbi wa harusi! Mataa mpaka chini ya uvungu!

Shida ni nini?

Siri ni nini?
Hahahahhahahahah ukumbi wa harusi nn....
Au utafikiri tufani
 
Duuh hilo swali ni sawa na mtu akuulize hiyo avatar umeweka yanini.
426068.jpg
 
Hii ni kwaTanzania!

Mafuso mengi barabarani yakuwaga na mataa mengi mengi tofauti tofauti juu na chini na katika kila pembe! Hasa usiku.

Fuso inakuja utafikiri ukumbi wa harusi! Mataa mpaka chini ya uvungu!

Shida ni nini?

Siri ni nini?
Mkuu hzo taa zna maana kubwa sana. Kwanza usalama wa gar lenyewe na pili kwa watumiaji wrote wa barabara
 
Hii ni kwaTanzania!

Mafuso mengi barabarani yakuwaga na mataa mengi mengi tofauti tofauti juu na chini na katika kila pembe! Hasa usiku.

Fuso inakuja utafikiri ukumbi wa harusi! Mataa mpaka chini ya uvungu!

Shida ni nini?

Siri ni nini?

Ni ushamba
 
Ni urembo unaoongeza visibility ya chombo usiku!Unakutana na fuso usiku linawaka taa km xmas tree!
 
ha ha haaa! majibu ya wanajf yanafurahisha aisee, ila ukikutana na fuso usiku utadhani uko casino
 
Ili kuonyesha urefu na ukubwa wa gari mida ya usiku kwa watu wenye akili ndogo kama zako mkiazima magari ya shemeji zenu msichomekee tu bila kuliona kama ni lorry maana utagongesha na kuharibu hako ka passo ka shemeji ako halafu akurudishe kijijini kwenu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom