Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Hahahahhahahahah ukumbi wa harusi nn....Hii ni kwaTanzania!
Mafuso mengi barabarani yakuwaga na mataa mengi mengi tofauti tofauti juu na chini na katika kila pembe! Hasa usiku.
Fuso inakuja utafikiri ukumbi wa harusi! Mataa mpaka chini ya uvungu!
Shida ni nini?
Siri ni nini?
Duuh hilo swali ni sawa na mtu akuulize hiyo avatar umeweka yanini.
Mkuu hzo taa zna maana kubwa sana. Kwanza usalama wa gar lenyewe na pili kwa watumiaji wrote wa barabaraHii ni kwaTanzania!
Mafuso mengi barabarani yakuwaga na mataa mengi mengi tofauti tofauti juu na chini na katika kila pembe! Hasa usiku.
Fuso inakuja utafikiri ukumbi wa harusi! Mataa mpaka chini ya uvungu!
Shida ni nini?
Siri ni nini?
Znasaidia kuonyesha vehicle presence,position,size,direction of travel na mengne kbao mkuuMkuu hzo taa zna maana kubwa sana. Kwanza usalama wa gar lenyewe na pili kwa watumiaji wrote wa barabara
Hii ni kwaTanzania!
Mafuso mengi barabarani yakuwaga na mataa mengi mengi tofauti tofauti juu na chini na katika kila pembe! Hasa usiku.
Fuso inakuja utafikiri ukumbi wa harusi! Mataa mpaka chini ya uvungu!
Shida ni nini?
Siri ni nini?
Ni urembo unaoongeza visibility ya chombo usiku!Unakutana na fuso usiku linawaka taa km xmas tree!Hii ni kwaTanzania!
Mafuso mengi barabarani yakuwaga na mataa mengi mengi tofauti tofauti juu na chini na katika kila pembe! Hasa usiku.
Fuso inakuja utafikiri ukumbi wa harusi! Mataa mpaka chini ya uvungu!
Shida ni nini?
Siri ni nini?
Hata siielewi kwakweli....
ha ha ha eti pubHakuna siri yoyote zaidi ya mapambo tu, ni kweli magari mengine usiku utafikiri pub lakini ni urembo tu
Wewe ndo mshamba kaa kimya kama hujui kazi zake[emoji3] [emoji3]Ni ushamba
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Ili kuonyesha urefu na ukubwa wa gari mida ya usiku kwa watu wenye akili ndogo kama zako mkiazima magari ya shemeji zenu msichomekee tu bila kuliona kama ni lorry maana utagongesha na kuharibu hako ka passo ka shemeji ako halafu akurudishe kijijini kwenu