Wanaiita Reincarnation, na Kuna baadhi ya clip YouTube Kuna watu wanakiri kukumbuka maisha yao ya nyumaNi kweli uhai unazunguka?
Yani mtu akifa anazaliwa Tena mahali pengine ama ndio imeisha?
AiseeWanaiita Reincarnation, na Kuna baadhi ya clip YouTube Kuna watu wanakiri kukumbuka maisha yao ya nyuma
Ila.kama tumeishi mbn hatukumbuki chochoteAisee
Kwahiyo hata sie tumewahi kuishi miaka elfu nyuma
Mwili wa nyama ukifa, roho haifi.Ni kweli uhai unazunguka?
Yani mtu akifa anazaliwa Tena mahali pengine ama ndio imeisha?
Wanaiita Reincarnation, na Kuna baadhi ya clip YouTube Kuna watu wanakiri kukumbuka maisha yao ya nyuma
Ubongo Mpya, Kadi Safi: Unapozaliwa, unakuja na ubongo mpya kabisa wa kibaolojia. Ubongo huu hauna muunganiko wa neva (synapses) uliobeba kumbukumbu za maisha yaliyopita.Ila.kama tumeishi mbn hatukumbuki chochote
Eeeh hii hali imewai kunitokea kabisaKuna shuhuda nyingi sana zipo..! Naamini ulishawahi kukutana na situation ambayo una hakika sio mara ya kwanza lakini hukumbuki ni wapi na lini
Kwa mujibu wa wabudha na wahindu ni ndiyo umeshawahi kuishi mara kadha wa kadha hapo nyuma na Kila unapokufa roho yako inaingia tena katika mwili mpya na kuzaliwa upya, huku kumbukumbu zako za maisha yaliyopita zikiwa hazipo ni nadra sana na ni wachache wanaoweza kukumbuka ila mara nyingi tunaanza maisha upya kabisaAisee
Kwahiyo hata sie tumewahi kuishi miaka elfu nyuma
Wabudha na wahindu hao ndo imani zaoHuu ni mwendelezo tu wa kile tumekuwa tukikijadili hapa jamvini kuhusu hayo mambo mawili, reincarnation -kuzaliwa tena katika umbo lingine na rebirth -kuzaliwa upya kiroho
Reincarnation na rebirth vinatofautiana katika misingi ya kiimani, lakini kiuhalisia ni kitu kilekile
Wanaoamini katika reincarnation hawaamini katika Mungu mkuu mwenye enzi yote, bali katika nafsi na miungu, cause and effect kwamba ubaya hulipwa na ubaya na wema hulipwa na wema, yani hakuna kitu msamaha kwenye hii imani, kila mtu atalipwa sawasawa na matendo yake....
Wanaoamini katika rebirth, ni wale Wanaoamini...
- Mshana Jr
- Replies: 151
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Aisee..imenifikirisha hapo kwenye karmaMwili wa nyama ukifa, roho haifi.
badala yake, inahamia kwenye mwili mwingine mpya (wa mtoto mchanga au kiumbe mwingine).
Mzunguko huu huongozwa na sheria ya Karma (malipo ya matendo yako).
Ukifanya mema, unazaliwa kwenye maisha bora; ukifanya mabaya, unazaliwa kwenye maisha ya shida au kama kiumbe wa chini.
Ni lini roho ya mtu aliyekufa zamani inapopata mwili mpya?Uwili wa uzima na mauti (dualism of life and death) ni mtazamo wa kina unaochukulia uwepo wa mwanadamu kuwa umegawanyika katika hali mbili zinazopingana lakini zinazotegemeana:
hatua ya kimwili au ya muda mfupi (uzima) na hatua ya kiroho au ya mwisho (mauti).
Dhana hii ya uwili kwa ujumla huangaziwa kupitia misingi miwili mikuu..
Uwili wa Nafsi na Mwili, ambapo kifo kinatajwa kama mtengano wa mwili wa nyama na roho isiyokufa, na Uwili wa Kinadharia, ambapo uzima na mauti yanachukuliwa kama nguvu mbili zinazokamilishana katika mzunguko wa ulimwengu.
Katika falsafa za Magharibi na mila nyingi za kidini, uwili unasisitiza kwamba binadamu ameundwa kwa vitu viwili tofauti:
mwili unaoonekana na akili au roho isiyoonekana.
Ndani ya mfumo huu, kifo si mwisho kabisa wa kuwepo, bali ni mpito tu ambapo mwili unaoonekana unaharibika na kufikia kikomo chake cha kimatibabu, wakati roho—kwa kuwa si ya kimwili—haiathiriwi na uharibifu huo, jambo linalofungua milango ya kuwepo kwa maisha baada ya kifo au kuzaliwa upya.
Kwa upande mwingine, nje ya uwili wa kimaada, uzima na mauti mara nyingi huchukuliwa kama pande mbili za sarafu moja zinazotegemeana chini ya sheria ya upinzani, sawa na mwanga na giza.
Kifo hakiwezi kuwepo bila uzima, ..na uzima unapoteza maana yake bila kuwepo kwa mauti, kwani mipaka ya vifo inatoa thamani na uharaka kwa maisha ya walio hai.
Falsafa nyingi za Mashariki na mapokeo ya kiasili yanakataa mtazamo wa kwamba maisha yanakatika ghafla wakati wa kifo, badala yake wanayatazama kama mzunguko endelevu ambapo kifo ni maandalizi ya lazima kwa ajili ya mabadiliko na mwanzo mpya.View attachment 3680025