Mkuu ungeongeza wawe pia wanakula na mbaazi ili soko lake lipande,sasa majani yatakwisha na mbaazi nani atakula? Update wale na Mbaazi ili Soko Lipande Mkuu.
Why umereverse maneno?.su neewteb revo si tihs siht gniod namow ym ees I
Dah naenjoy tu kufanya hivyo.Why umereverse maneno?
Has. Mkuu subiri majani ya mbaazi yatauzwa hadi na wamachinga walahiKurudissha bikra sidhani kama inawezekana Ni kama unafungua soda kunywa halafu unasema unaweza kurudisha kizibo kama kiwandani, utaziba temporary laakini sio kama kiwandani, kwa ufupi hio technologia haipo mkuu,used only once
kama Ni kweli unalosema mbaazi ingekuwa na soko kubwa, lakini kinyume chake kilo moja Ni sh 300
Si hapo sasa. Maana kama jitu likishafikisha miaka 30 likikwambia linabikira utaliona liongo tu.Alafu hiyo bikra ikisharudi unaionyesha kwenye tv au