Siri ya mkaa wa mianzi katika afya ya uzazi kwa mwanamke

womencare

New Member
Joined
Mar 24, 2014
Posts
1
Reaction score
0
Mkaa wa mianzi ni mashuhuri sana katika shughuli mbalimbali za kitabibu, wenzentu katika nchi wanazothamini tiba asilia wamekua wakiutumia mkaa huu katika shughuli kama kuua nguvu ya sumu, kukausha vidonda vya operation vilivyoshindikana na pia hata kumrudishia ufahamu mgonjwa aliepoteza fahamu.
Tunapokuja kwenye afya ya Uzazi kwa mwanamke mkaa huu wa mianzi unafanya maajabu makubwa sana, tutaendelea kipindi kingine
 
Mkuu wewe ni mjanja yaani umeandika mistari miwili halafu unasema tutaendelea kipindi kijacho......
 
Mkaa wa mianzi ni mashuhuri sana katika shughuli mbalimbali za kitabibu, wenzentu katika nchi wanazothamini tiba asilia wamekua wakiutumia mkaa huu katika shughuli kama kuua nguvu ya sumu, kukausha vidonda vya operation vilivyoshindikana na pia hata kumrudishia ufahamu mgonjwa aliepoteza fahamu.
Tunapokuja kwenye afya ya Uzazi kwa mwanamke mkaa huu wa mianzi unafanya maajabu makubwa sana, tutaendelea kipindi kingine

Ana this is your first post under that name!!!
 
Back
Top Bottom