Siri ya mtungi, aijuaye kata

Siri ya mtungi, aijuaye kata

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,239
Huu msemo kwa nini unahusishwa sana na mambo ya malavi davi. Kwa wenye ufafanuzi mtu dadavulie kidogo. Maana sisi wengine na misemo mbali na mbali
 
Mara ohh kuku wa kuchora, adonoi, awiki wala ali
 
Mara Ohh jamaa Joka la kibisa, aligongi.
 
Sio vyote ving'avyo ni dhahabu, veng'ine vyupa
 
Huu msemo kwa nini unahusishwa sana na mambo ya malavi davi. Kwa wenye ufafanuzi mtu dadavulie kidogo. Maana sisi wengine na misemo mbali na mbali

Kata ndo inayozama mtungini. So kama maji ni moto au baridi, kata ndo inajua.
 
Back
Top Bottom