Analogia Malenga JF-Expert Member Joined Feb 24, 2012 Posts 5,108 Reaction score 10,191 Dec 14, 2012 #21 King Kong III said: Mtaka nyingi na saba upata mwingi msiba...... Click to expand... mtaka nyingi nasaba... Sio mtaka nyingi na saba.
King Kong III said: Mtaka nyingi na saba upata mwingi msiba...... Click to expand... mtaka nyingi nasaba... Sio mtaka nyingi na saba.
jacob robart New Member Joined Dec 16, 2012 Posts 4 Reaction score 0 Dec 16, 2012 #22 mi nafikiri huu msemo una maana ifuatayo, kwamba jambo lisipokukuta hauwezi jua uzito wake..lakini likikukuta ndo utakapo jua uzito wake...nafikiri kwa uelewa wangu mdogo nimeelewa hivyo..
mi nafikiri huu msemo una maana ifuatayo, kwamba jambo lisipokukuta hauwezi jua uzito wake..lakini likikukuta ndo utakapo jua uzito wake...nafikiri kwa uelewa wangu mdogo nimeelewa hivyo..
M Mtakatifu Joseph Member Joined Dec 27, 2012 Posts 17 Reaction score 3 Dec 30, 2012 #23 cyberspace said: . Watoto wa DSM bwana Kiswahili tatizo 'adonoi' - HADONOI na ali - HALI jamani acheni kuharib u kiswahili Click to expand... kata ndio iingiayo ndani ya mtungi na kujua yaliyomo ndani yake.:-ajuae yako yandan ni rafiki yako
cyberspace said: . Watoto wa DSM bwana Kiswahili tatizo 'adonoi' - HADONOI na ali - HALI jamani acheni kuharib u kiswahili Click to expand... kata ndio iingiayo ndani ya mtungi na kujua yaliyomo ndani yake.:-ajuae yako yandan ni rafiki yako