Siri ya Mtungi ni miongoni mwa Tamthilia bora kabisa kuwahi kutengenezwa Tanzania

Siri ya Mtungi ni miongoni mwa Tamthilia bora kabisa kuwahi kutengenezwa Tanzania

Mufti kuku The Infinity

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2019
Posts
6,053
Reaction score
10,032
Kwa wale wenye upeo wa kujua vizuri watakubaliana nami.

Siri ya Mtungi ni miongoni mwa Tamthilia bora za Lugha ya Kiswahili kuwahi kutengenezwa Tanzania.

Ni aibu kwanini hatuna Tamthilia za namna ile kedekede, kwani tunanyimwa uhondo haswa.

Wahusika wote kwenye entertainment industry tunaomba vitu kama hivyo, tuzidi kuburudika na kuitangaza vyema Lugha ya Kiswahili kupitia burudani.

Ramadhan Kareem.
Uzi tayari.
Mufti kuku The Infinity
The Mongolian Savage
 
Linki mkuu niifuatilie

Nyau de adriz
 
Nilikuwa naisikia miaka hiyo sema kwetu hatukuwa na umeme wala TV
 
Kwenye Siri ya mtungi cha kwetu ni wasanii, location na lugha vingine vyote vililetwa na wadhamini kuanzia story, directors lugha and a lot about the movie. Ila kubwa kuliko yote ni fungu la pesa kama tukiendelea kupamba na ramata wa jua kali viwango vya Siri ya mtungi tutafikia
 
Back
Top Bottom