Siri ya rangi za nguo unazovaa Kila siku

Majibu yanareflect au ah....ah.ah..
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Anajua coca
Ila mie nikivaa black lazima white awepo hata bila kupangilia,sijui kwanini
Kuna siku nikakosa dili la maana kisa marangi hayo๐Ÿ‘Œ
 

Attachments

  • IMG_20231025_162847_219.jpg
    24.8 KB · Views: 8
Ahsanteee sanaa.[emoji120][emoji120]
 
[emoji23][emoji23]Anajua coca
Ila mie nikivaa black lazima white awepo hata bila kupangilia,sijui kwanini
Kuna siku nikakosa dili la maana kisa marangi hayo[emoji108]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie nguo nyingi white na pink wallah hivi.
 
Rangi nyeusi na nyeupe pamoja hufanya muunganiko unaosimama kwa usawa, utata, na uwiano. Mara nyingi, huchukuliwa kama ishara ya ujasiri, umakini, na staili. Pamoja, rangi hizi huleta hisia za utulivu na uwiano katika muonekano.
 
Pande zingine za dunia...
Kijani ina maanisha ni mtu muongo muongo, tapeli, mjanja mjanja, sio mkweli na haonyeshi picha halisi ya maisha yake.....
 
Haya mambo yapo mfano angalia hii.

Kila mwaka, taasisi ya Pantone huamua rangi ya mwaka, ambayo mara nyingi huwa na maana fulani au inawakilisha hisia fulani kuhusiana na hali ya kijamii au kitamaduni. Rangi ya mwaka inaweza kutafsiriwa kama ishara ya mwelekeo, mtindo, au hisia za kiroho kwa kipindi hicho. Kwa mfano, Living Coral iliyoteuliwa kuwa rangi ya mwaka kwa mwaka fulani ilikuwa inawakilisha urafiki, nguvu, na matumaini.
Mfano rangi ya mwaka 2024 ni PANTONE 13-1023 Peach Fuzz ( Pantone Zeituni....)
 
[emoji23][emoji23] Nakutania mdogo wangu,nilitaka nisikie sauti yako 2024
Eti FaizaFoxy kashinda mrembo wa jf,kesho mapema tukutane posta mpya tukiwa na mabango tuandamane [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kura si zilipigwa? Kashinda kihalali.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kura si zilipigwa? Kashinda kihalali.
Hana shukran,binafsi nimempigia kura,afu anageuka,anaanza kunitukana?miss gani mwenye matusi?ana mdomo mrefu kama mama yake wema sepetuu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kwenye misiba wengine huvaa rangi nyeusi, na wengine misiba yao huvaa rangi nyeupe. Kuna wazee wa suti nyeusi wanaona rangi nyeusi ni nguvu na uimara. Viongozi wengi huvaa suti ya rangi ya bluu nyeusi wanaona ni utawala na mamlaka. Kuna wale wa valentine huvaa nyekundu kama rangi ya upendo, nyekundu hiyo hiyo kwingine hutumika kama ishara ya hatari. All in all huonesha uko katika hali gani kihisia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ