Siri ya Shadow Body of Directors katika Biashara

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Ninapo zungumzia shadow nazani naeleweka. Hii ni sawa na ilivyo Baraza kivuli la Upinzan pale Bungeni.

Kwenye Biashara napo kuna Shadow Director.

Hawa ni watu Very portential ambao huwekwa kama Ma director vivuli.

Wafanyabiashara wengi hutumia sana hii mbinu na inakuwaga na mafanikio makubwa sana.

Kwenye Shadow Director mwenye kampuni huangalia wale watu muhimu kwake kwa mujibu wa biashara yake na hao huwaomna wawe washauri wake na hukutana nao kufanya nao vikao.

Shadow huweza hata kulewa hata 0.5 ya share. Kumbuka hawa hawana majukumu yoyote walea hawana cost wanazo tumia kwenye kampuni wao ni Ma Director wa Heshima.

MFANO.

Wewe labda una kampuni ya Kilimo na unalima matunda na Mboga na pia unafuga kuku wa mayai na nyama

Unapo kuwa na kampuni yako unaweza tafuta Ma director wa heshima, unaweza tafuta hata Mmiliki mmoja wa Hoteli kubwa hapo Mjini na ukampa Udirector wa Heshima na share hata za 0.5% huyu Automaticaly kwenye ushauri wake itakuwa ni pamoja kuwa mnunuzi wa Mayai na nyama na matunda kutoka kwako.

PIA ukawa na Director kivuli wa mwenye kampuni ya Usafirishaji ambapo mabli na kuwa mshauri wako pia wewe unaweza kuwa unapata Discount kwenye kusafirisha Product zako.

Mifano iko mingi sana ila hiyo hapo juu ni michache tu.

Hakuna kitu watu wanapenda kama hii ya kuwapa UDirector wa heshima ambapo kwako pamoja na kuwa ni mbinu ya biashara ila kwake ni heshima ya kipekee.

PASAKA NJEMA
 
Unanikumbusha yule Balozi mstaafu alienda UKAWA na akarudi chama tawala alikuwa SHADOW DIRECTOR kwenye ile kampuni yenye SKENDO ya MAKINIKIA.
 
Mkuu, nimefurahi sana hapa. Nimeona umeandika kitu kizuri na chenye logic kabisa hapa. Thanks

Back
Top Bottom