Siri ya shape ya Wema Sepetu ndo hii hapa

Mbona mie nafanya hayo nyumbani hayajawa makubwa hivyo...... Au mpaka gym???? "Nasema kwa unyonge"
 
Mbona mie nafanya hayo nyumbani hayajawa makubwa hivyo...... Au mpaka gym???? "Nasema kwa unyonge"
 
Sorry, hivi kuna mwnaume anazaliwa na likifua likubwa???? Mtu kufanya mazoezi na kupata shape yake shida iko wapi?? Na tusipofanya mazoezi tukawa wakakamavu lolote la kutokea litakalotulazimu kukimbia mtatubeba???

Mwacheni bana afanye mazoezi yake, mwanamke akiwa na kitambi hampendi, akifanya mazoezi akipunguze maneno maneno yanaanza.

Huwezi ishi kwa maneno ya watu kamwe. Kila mtu afanye kile moyo wake unapenda afanye.
 
WEMA ANA TAKO LA KIHENGA.
Liko chini chini

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…