No offense but is Shein=Mama Salma Kikwete?? in terms of their role in government??
Nauliza tu!!
Swali la leo:
Rais anatoka BAGAMOYO
Makamu anatoka PEMBA
Waziri Mkuu anatoka SUMBAWANGA
Katibu Mkuu ( CCM ) anatoka TANGA
Ukitaka kuwaroga uende wapi?
Swali la leo:
Rais anatoka BAGAMOYO
Makamu anatoka PEMBA
Waziri Mkuu anatoka SUMBAWANGA
Katibu Mkuu ( CCM ) anatoka TANGA
Ukitaka kuwaroga uende wapi?
Hivi huyu jamaa alikuwa ni chaguo la JK 2005 katika hiyo post au kamati kuu ilimchagulia JK, kwa wale waliofuatilia mchakato ule dodoma 2005, Baada ya kura kuhesabiwa na JK kuibuka CCM Nominee, Mkapa aliposema Sasa kamati kuu inaenda kukutana kutoa jina la makamu wa rais, sura ya JK ilibadilika kama mtu aliyepigwa butwaa vile.
My take:
Mi nafikiri wanamtandao walikuwa na mtu wao kwa post hii, na ndiyo maana huyu VP wetu amepewa role ya ajabu ajabu, wanasema akufukuzae hakwambii toka, ukiona kwenye mechi wenzako hawakupi pasi basi ujue wanakuona huwezi kumiliki mpira. Huyu Sheni hiki nafikiri kitakuwa kipindi chake cha mwisho 2010 atajiuzulu na muungwana atachagua mtu mwingine.
2010 atateuliwa Shamsi Vuai Nahodha kuwa makamu wa Raisi wa Tanzania.
Shamhuna anataka kiti cha Zenj...Hata hivyo upepo bado kuwa upande wakeKwa nini asiwe Shamhuna?, nafikiri atachukua shamhuna maana ndiyo anaonekana ni chokochoko cha muungano na njia pekee ni kumpa post kama hiyo kumtuliza.
Khee!!! Shamhuna hana bao ni ziro. Na tafadhali usiwe mpambe wake utaula na chuwa.Shamhuna anataka kiti cha Zenj...Hata hivyo upepo bado kuwa upande wake
2010 atateuliwa Shamsi Vuai Nahodha kuwa makamu wa Raisi wa Tanzania.
VP atakuwa jamaa anaitwa KOMBO MAKAME MWINYIUSI, jamaa vere potenshoo!!!
Dr Shein karibu marekani ukipata nafasi na wewe ufanye shopping kama wenzako.
2010 atateuliwa Shamsi Vuai Nahodha kuwa makamu wa Raisi wa Tanzania.
Yuko busy anakagua nyanya...Shein bwana is a Character
Yuko busy anakagua nyanya...Shein bwana is a Character