Siri ya soda ya coca cola na funzo kwa maisha

Yuko sahihi ukitaka kujua Hilo ni kuwa maabara ya kuchanganya coca cola marekani, ni Moja ya sehemu za Siri ambazo hupaswi kusogea, ukisogea una pigwa shaba
 
Hio siri haina tija..brand ni brand tu....wanaikuza tu hii stori wanajishtukia wao..dunia hii ya mchina wakiamua kuja na copy ya cocacola hawashindwi basi tu wao wako na machines na technology kwa sasa na sio drinks
 
Hii huwa naona ni fix tu
Sure wanajishtukia wao tu...kumbe hata hakuna mtu mwenye mpango wa kushindana nao..ni brand inayoheshimika tu ila sidhan kama wachina waamue kuja na copy yake wakashindwa basi tu wachina wanawaza mengine hawataki ushindani Kwenye beverages
 
siri ya mafanikio ndiyo
 
Vp kuhusu bia zetu πŸ˜‚
Sisi tuliambiwa mficha uchi sijui nini huko
 
Mbona kama chai ?

Hao watu wawili ni immortal hawajafa tu tokea Coca-cola ianzishwe miaka hiyo ?

Vipi kama wakifa je , coca-cola itakufa au ?
 
Saa nyingine hutaki kujua siri za watu mara ghafla unakutana na motivation speaker anakuambia siri ambazo matajiri hawataki ujue wakati yeye bado maskini pamoja na kujua hizo siri.
 
Ana akili gani huyo juha zaidi ya kuokoteza madesa?! Halafu mbaya zaidi desa lenyewe kabofoa kuliwasilisha.
Ili Dunia iwe na ladha lazima kuwe na watu kama wewe😁😁😁
 
Unakutana na mtu from nowhere tu anakuelezea hela aliyoipata kwenye shughuli zake siku io na hela anayopataga kila siku!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…